Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hii series ya moto sana π₯Big mouth ni moja ya drama niliyo itazama mara nyingi sana, kuanzia Mwaka jana hadi huu.
Ina story Kali, maina character haja niangusha kapiga kazi ya kwenda, female character nae sio mgeni wa hizi mbanga.
View attachment 3528171
Ndio ume achiwa ehhππHii series ya moto sana π₯
Huku nimekuwa mvivu wa kuingia sababu ya hiyo ban πNdio ume achiwa ehhππ
Nilikuwa nacheki post za nyuma , kutafuta recommendations Kali za Korea za zamani zenye ladha halisi ya pori nikakuta umeupiga mwingi katika uchambuzi wa arthdal Chronicles 1.adriz unafukua makaburi yangu
Sio mashabiki, sema weee!ndio una litaka hilo dude ππ.Kwenye IG SJK kapost picha kagonga suti , mashabiki wamekumbuka Vincenzo wanataka upigwe season 2.View attachment 3531746
Jana nimeiDownload episode ya mwisho Kuna vipande navikubali sana nataka nirudie π
πππdie hard fan wa Vincenzoπ
AJana nimeiDownload episode ya mwisho Kuna vipande navikubali sana nataka nirudie π
Lile Dude nalikubali sana nakumbuka kipindi wewe na Selikavu ndio mlinichochea wakati nilikuwa nimezikataa za Mjini nikaja kucheki nikapata mzuka zaidi baada ya kucheki descendants na kuelewa pigo za mwamba.
Kusema kweli mara nyingine mtu Kukubali series Fulani inatokea endapo inegusa sehemu yako ya maisha , Mimi Vincenzo imegusa sehemu yangu ya maisha kwa asilimia kubwa sababu nimekulia mitaa uswahilini na korofi sana jijini Dar es Salaam Kuna dhuluma ,ubabe na bullying za kutisha .
Kipindi cha unyonge wangu ilikuwa kila siku nalia kwa wazazi na kumlilia Mungu kuwa "mbona watu Wema na sio wagomvi tunateseka hivi kuonewa ? yaani ukiwa mpole kila mtu anaona kibonde wa kukuonea ?
Niliishi kwenye unyonge huo nilidhalilika , kupigwa bila sababu na wababe shuleni na mitaani siku nikafikiria nikasema unyonge hauna nafasi Duniani inabidi niwe Nyangwisi kusurvive kwenye Jamii ya MaNyangwisi vingenevyo nitaishi kwa tabu hiyo Ina reflect kauli ya Vincenzo ambayo imebeba series nzima ambayo inasema "only evil can punish evil"
Haikuwa kazi rahisi finally nikaturn into Mafia mode, mtu yeyote anayeingia anga zangu kihuni nikawa naruka nae kihuni na ikawa mpaka wanyonge wengine mtaani kimbilio lao Mimi , watu wa nyunbani kwangu Dada na wadogo zangu wanaogopeka vibaya sana .
View attachment 3531765
Selikavu tuli fanya makosa makubwa sana π π€£Jana nimeiDownload episode ya mwisho Kuna vipande navikubali sana nataka nirudie π

Asituchoshe π
Intelligent businessman embu mpe list ya series huyu kijana kila siku kurudia series 1 ni matumizi mabaya ya bando na muda πππJana nimeiDownload episode ya mwisho Kuna vipande navikubali sana nataka nirudie π
Lile Dude nalikubali sana nakumbuka kipindi wewe na Selikavu ndio mlinichochea wakati nilikuwa nimezikataa za Mjini nikaja kucheki nikapata mzuka zaidi baada ya kucheki descendants na kuelewa pigo za mwamba.
Kusema kweli mara nyingine mtu Kukubali series Fulani inatokea endapo inegusa sehemu yako ya maisha , Mimi Vincenzo imegusa sehemu yangu ya maisha kwa asilimia kubwa sababu nimekulia mitaa uswahilini na korofi sana jijini Dar es Salaam Kuna dhuluma ,ubabe na bullying za kutisha .
Kipindi cha unyonge wangu ilikuwa kila siku nalia kwa wazazi na kumlilia Mungu kuwa "mbona watu Wema na sio wagomvi tunateseka hivi kuonewa ? yaani ukiwa mpole kila mtu anaona kibonde wa kukuonea ?
Niliishi kwenye unyonge huo nilidhalilika , kupigwa bila sababu na wababe shuleni na mitaani siku nikafikiria nikasema unyonge hauna nafasi Duniani inabidi niwe Nyangwisi kusurvive kwenye Jamii ya MaNyangwisi vingenevyo nitaishi kwa tabu hiyo Ina reflect kauli ya Vincenzo ambayo imebeba series nzima ambayo inasema "only evil can punish evil"
Haikuwa kazi rahisi finally nikaturn into Mafia mode, mtu yeyote anayeingia anga zangu kihuni nikawa naruka nae kihuni na ikawa mpaka wanyonge wengine mtaani kimbilio lao Mimi , watu wa nyunbani kwangu Dada na wadogo zangu wanaogopeka vibaya sana .
View attachment 3531765
nilisha mpa sidhani kama Kamaliza, empress ki yenyewe nusura tugombane ππ€£.Intelligent businessman embu mpe list ya series huyu kijana kila siku kurudia series 1 ni matumizi mabaya ya bando na muda πππ
Hatuwezi rudia huu ujingaπππ
Nimerudia jumong mara kibao , ninrerudia Vincenzo baadhi ya episodes, nimerudia Sux flying dragon baaadhi ya episodes, emperor of the Sea niliwahi kurudia full , Kingdom of the winds nayo full nilirudia , Arthdal Chronicles 1 episodes kadhaa nilirudia . Sasa nataka kurudia arthdal Chronicles 2 full.Intelligent businessman embu mpe list ya series huyu kijana kila siku kurudia series 1 ni matumizi mabaya ya bando na muda πππ
Wewe haurudiagi Descendants mkuu ?Hatuwezi rudia huu ujingaπππ
All time favorite, hii drama na ile OST yake havitokaa vitoke akilini mwangu.adriz usije sema nime kutenga, ruka na chuma cha porini hiki kitambo ila jang hyuk ali gawa dozi.
Slave hunters.
View attachment 3533326View attachment 3533327