Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Mkuu hizi ni drama with happy ending?Weekend hii iko well spent!Nimeangalia
Spring Fever
Positively Yours
To My Beloved Thief
Undercover Miss Hong
Hapa najifosi kuangalia The Judge Returns ambayo sio mambo yangu
Nishamcrush ML wa Spring Fever...asipocheka,akicheka anaharibu
FL wa To My Beloved Thief haendani na ML
Mkuu hizi ni drama with happy ending?
Hiyo To My Beloved Thief nimeisoma kimtindo sijaona hekaheka, ingekuwa thriller ningeikwangua mapema tu.Ni ongoing,hakuna iliyoisha
Zimetoka january hii
Thriller sizipendagi hataHiyo To My Beloved Thief nimeisoma kimtindo sijaona hekaheka, ingekuwa thriller ningeikwangua mapema tu.
Hivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendeleeIljimae
Hi series in nzuri kwangu. Huwa si ichoki kuingalia.
Hamna wako sahihi, hata kisasi cha mzee hakija lipwa vizuri.Hii wameforce tuu😃😃😃
Angalia the return of iljmae ni kali pia.Hivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendelee
Ume nikumbusha forbidden kingdom ya jack chan, na jet lee.We fimbo ya muanzi inakuhusu 😂
Hii si Six Flying Dragons au?Razorblade, Selikavu, Nifah ngoja tumpe adriz sababu ya kurudia haya madude 😂😂
View attachment 3535351
Oya mambo yangu hayo , Mimi uniwekee demu na vigongo vikali vya pori ama hivi nakataa demu na siwazi kabisa kuhusu demu.Razorblade, Selikavu, Nifah ngoja tumpe adriz sababu ya kurudia haya madude 😂😂
View attachment 3535351
Ndio hiyo .Hii si Six Flying Dragons au?
Mimi nipo kwenye mchakato wa kurudia drama nilizokwisha kuziona, nimegundua nilikuwa sijui mambo mengi sana kwa kuziangalia mara moja tu.
Nipo nairudia Korea-Khitan War 🔥
Shine or Go Crazy sikuimaliza niliona masihara mengi niliishia Binti kashafilisiwa kampuni yake . Nitajaribu kuendeleza tenaAll time favorite, hii drama na ile OST yake havitokaa vitoke akilini mwangu.
Sasa hivi nairudia drama yake ya Shine or Go Crazy, hatari sana.
Katika nilizoziona Iljimae ya kawaida sana watu wameikuza sana haifikii viwango vya Six flying dragon, Empress Ki , Joseon Gunman na nyinginezo nlizowahi kuonaHivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendelee
Basi tungojee tuoneHamna wako sahihi, hata kisasi cha mzee hakija lipwa vizuri.
Binti alisepa ghafla, so ni dillema.
Pamoja mkuuAngalia the return of iljmae ni kali pia.
Weee chuma cha moto, yaani ni 🔥🔥Shine or Go Crazy sikuimaliza niliona masihara mengi niliishia Binti kashafilisiwa kampuni yake . Nitajaribu kuendeleza tena
Yenyewe, siku hizi naangalia vyuma vya zamani kwa episode au kukirudia chote.Hii si Six Flying Dragons au?
Mimi nipo kwenye mchakato wa kurudia drama nilizokwisha kuziona, nimegundua nilikuwa sijui mambo mengi sana kwa kuziangalia mara moja tu.
Nipo nairudia Korea-Khitan War 🔥