Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyo adriz aeleweke, ft na series ana chagua kipi?.

niko radhi nimpeleke ukweni, Selikavu nimelewa mwanangu 😁 😁
Huyo ni Mke sio demu ndio maana nitachagua FT tena Niko radhi kuacha starehe na distractions zote kuanzia mpira ,games na series za aina yeyote yeye pekee ndiye atakuwa jicho langu , furaha yangu na starehe yangu .

Kama mpira tutakuwa tunacheza wote ndani magori madogo series zozote tunaigiza wenyewe ndani kwa mke mzuri mwenye vigezo kamili kama Ft Niko tayari kuCompromise kila kitu .

Do you find it amusing ?

Razorblade nadhani ushanielewa Chief General misimamo yangu
 
Dogo nita kupiga panga ka muhyul, Selikavu, Razorblade muhuni huyu shwaini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Ikawaje sasa
Hizi drama za love story ukiziangalia sana zinauchota ubongo uamini kile unachokiona πŸ˜‚

Kuna muda unahitaji changamoto tofauti zaidi ili kuendana na mazingira halisi, ndipo nilipoanza kuzipotezea ingawa bado napenda hata nikiangalia thriller iwe na love story kidogo kunogesha tena love story with happy ending πŸ˜‚

NB: Brick & Lace-Love is Wicked.
 
Mimi siwezi kukuelewa sababu hivyo unavyotaka kuviacha kisa mwanamke mie ndo navizingatia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…