Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mie ni love story tu na ubongo uendelee hivi hivi kuamini unachokiona
Love story with happy ending πŸ₯‚
Sitaki kulizwa na mapenzi ya uhalisia wangu na kwenye drama πŸ˜ƒ
 
Mie ni love story tu na ubongo uendelee hivi hivi kuamini unachokiona
Love story with happy ending πŸ₯‚
Sitaki kulizwa na mapenzi ya uhalisia wangu na kwenye drama πŸ˜ƒ
Ukiwa addicted na love story za korea hizo za happy ending haki ya nani huwezi amini kama kuna kuumizwa kwenye mapenzi πŸ˜‚

Nishavuka huko πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Toka aondoke dramacool sijaona site nyingine Kali ya kumfunika mule haukosi kitu na wameweka mpangilio mzuri.

Nkiri Kuna series karibia tatu nimezikosa hakuna wakati nilikuwa napata dramacool
 
Toka aondoke dramacool sijaona site nyingine Kali ya kumfunika mule haukosi kitu na wameweka mpangilio mzuri.

Nkiri Kuna series karibia tatu nimezikosa hakuna wakati nilikuwa napata dramacool
Series gani una taka?, mchawi wifi tu.

The mighty store x intelli fvckin world
 
Korean drama series:The Art of Sarah

Moja Kati ya pieces Kali ni hii Kuna mauaji yanafanyika ila Sasa haijulikani anayefanya ni muhusika yupi kwa sababu muuaji ana identity tofauti tofauti ishu ni kumjua ni identity yupi ni sahihi? Ndipo hapa police kwenye kitengo cha investigation wanapokuna kichwa kumpata the real suspect
 
AMAZING K-SERIES ACTORS LINE UP!

Upcoming political thriller revenge series "Climax" releases new official poster starring Ju Ji Hoon, Ha Ji Won, Nana, Oh Jung Se, and Cha Joo Young.

#Climax premieres on March 16 via Disney+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…