Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wewe umejuaje kama hahusiki
 
Mwamba anadharqu huyu, Serizawa kamo na siku amini kama Dogo OKITA ndo angamkalisha. Sema hawa wawili pambano lao lilikuwa sensational tangu episode ya kwanza.

Dharau na kiburi chake nilimkumbuka Jang hyuk na Kim Nam gil

Wajan wanamfanano fulani katika culture na wakorea kuliko wakorea na wachina.
 
Pambano la Serizawa na Okita lilikua njema sana, Hijikata kila anapokua kwenye pambano na mtu anafanya suprise attack ambapo mpinzani hakutegemea kama ilivyokua kwa Hiriyama.
 
Pambano la Serizawa na Okita lilikua njema sana, Hijikata kila anapokua kwenye pambano na mtu anafanya suprise attack ambapo mpinzani hakutegemea kama ilivyokua kwa Hiriyama.
Toshizo yuko good ila aingemuweza Srizawa Kamo maana lile jitu ni heavyweight dogo alimmudu Serizawa sababu ni mwepesi sana.
 
Nimeimaliza THE EASTERN PALACE
Koreans are just Koreans, kuna ladha fulani hawa watu wanayo ambayo huwezi ipata Japan & Wachina.
Nina lundo la series na yenyewe nikaishusha kabla sijaifikia kutazama wapondaji wakawa wengi nikaifuta kuclear nafasi nikashusha The Husband na Teach you a lesson.

Kama imenyooka nitaishusha tena. Naomba uthibitisho wako mkuu.
 
Kwangu mimi ni "Okay drama" inastahili muda wako.
Kama uliipenda A Scholar Who Walks the Night. hata hii utaipenda, hii inazungumzia roho zilipo kwenye jumba la kifalme wakati ile inazungumzia Vampire.
 
Ngoja nimalizane na hizi zilizopo kwanza.
 
Hizi drama zenye maudhui ya Action pamoja na comedies za kudokoa zina kismati cha kufanya vizuri sana.
1. Agent kim reactivated
2. Terius behind me
3. The fiery priest
4. Taxi driver
5. Life on Mars
Hiyo Fiery priest nimeijaribu kama mara tatu imenishinda kabisa
 
HII BLADES OF THE GUARDIANS ilifaa kuwa series iagusa visa wakati wa Sui Dynasty. The best martial art film to watch in 2026.
Wu jing, Nicholas tao, Max Zhang & Jet li.

Muda huu bado natafuta historical drama nzuri za kikorea, je wachina historical drama zao ni nzuri siku hizi?
 
Hizi drama zenye maudhui ya Action pamoja na comedies za kudokoa zina kismati cha kufanya vizuri sana.
1. Agent kim reactivated
2. Terius behind me
3. The fiery priest
4. Taxi driver
5. Life on Mars
Nimekuja kukutafuta nikwambie ulikuwa mbele ya wakati juu ya remarks zako kwa Baek Ji-Young πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ

Huyu ni Whitney Houston wa Korean, hats off!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…