Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Dah asante mkuu nilikua nawaza niangalia series gani bora nimepata hizi sasa nizishushe moja moja.

Sent From Heaven
 
Forum ipi hiyo niambie na mm nikajiunge huko.
 
Inahusu nn hiyo kitu
Drama Iyo inaitw REBEL THIEF WHO STOLE THE PEOPLE
Inahusika Zaidi na Kijana alotokea Kwenye Familia Ya Watumwa, au Drama Inayoelezea Zaidi Maisha Ya Mtumwa Katika Zama Izo Nchini korea..Umeelewa Nahisi
 
Haya, mambo yangu yale nayopenda yamo kweli humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…