Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Ungesema tu wazazi. "Hasa mama" ndio nini?
Hii pia ni aina flani ya upuuzi ambao jamii inaupalilia Kwa kasi ya ajabu sana! Kwa nini iwe "hasa mama" wakati baba ndie kavuja jasho ili tumbo lako lijae na kufika ulipofika leo? Baba ndie kabeba baraka za mtoto ninyi endeleeni kujilisha upepo! Samahani mkuu, nimekuquote lakini namjibu aliesema hasa mama.
 
Kama una maugomvi na mama Yako peleka huko kwenye familia Yako na mama Yako. Anaanza mama anafata mama anafata mama alafu anakuja baba kama humpendi mama Yako kwa sababu zako basi Fanya Yako
 
Hii pia ni aina flani ya upuuzi ambao jamii inaupalilia Kwa kasi ya ajabu sana! Kwa nini iwe "hasa mama" wakati baba ndie kavuja jasho ili tumbo lako lijae na kufika ulipofika leo? Baba ndie kabeba baraka za mtoto ninyi endeleeni kujilisha upepo! Samahani mkuu, nimekuquote lakini namjibu aliesema hasa mama.
BABA WENGI NI WAPUUZI NA MIZIGO,NDIO WAMESABABISHA VIJANA LEO TUNAISHI KAMA MASHETANI

UNAKUTA UNA BABA,HAKUWAHI KUWA HATA NA KIWANJA,YEYE HESHIMA ALIWEKA BAA,HAJASAFIRI ILA MTAMUONA HOME AKIWA HANA HELA AU ANAUMWA,KIUFUPI MUDA MWINGI MNAKUWA NA MAMA.

HII HOJA YA YEYE NDIO KAVUJA JASHO TUMBO LIJAE NI UJINGA TU UNASUMBUA.
 
Na wewe ni mpumbavu wa pili kabisa unataka nitaje nani?? Parenting never ends kama una ugomvi na mam Yako peleka kwa familia Yako sio hapa JF
Wewe unaandika utoto wako humu halafu unataka uachwe usisahihishwe! Hv mama yeye ana thamani gani ktk parenting role mpk apewe upendeleo dhidi ya baba, njoo na maelezo yenye kueleweka, ila usitulishe mahaba Yako Kwa mama Yako ndio iwe mtazamo wa kijamii.
 
Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.

Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
Kweli kabisa,kuna mwaka kuna shetani lilinishikaga nilisahau hadi wazazi, nashukuru mungu nilijivua aisee
 
Back
Top Bottom