Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

wazazi wako hasa mama.
Biblia inasema ''Apandacho mtu,ndicho atakachovuna''
imekuwa desturi watu wengi kuimba wimbo wa nani kama mama,
Lakini kwa kijana wa kiume anayeshadadia wimbo kama huu,labda awe ile timu kataa ndoa
lakini kama unategemea kuoa na ni mshabiki wa mama peke yake badala ya kutunza wazazi.
mbegu hiyo ipo ardhini inasubiri inyeshewe mvua,ikioto ndo utajua hujui na wakati huo muda utakuwa umepita.
 
Back
Top Bottom