Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah ila nusu albino a.k.a kubwa la manusu una visa .Hudhuria vikao utaipata.
Kuna huyu lofa Intelligent businessman kaona nachat na shem wangu mzuri binti kiziwi afikishe salam za valentine day, kaona awaambie wale modizi wafunge uzi 😅
kwani si shemeji yetu wote, na salamu za valentine mi ndo nili anza kutuma.
huu ni wivu🤣😂