Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.

Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
Kwanini iwe mama, acheni upumbavu kwani sacrifices za baba hazina maana?
 
BABA WENGI NI WAPUUZI NA MIZIGO,NDIO WAMESABABISHA VIJANA LEO TUNAISHI KAMA MASHETANI

UNAKUTA UNA BABA,HAKUWAHI KUWA HATA NA KIWANJA,YEYE HESHIMA ALIWEKA BAA,HAJASAFIRI ILA MTAMUONA HOME AKIWA HANA HELA AU ANAUMWA,KIUFUPI MUDA MWINGI MNAKUWA NA MAMA.

HII HOJA YA YEYE NDIO KAVUJA JASHO TUMBO LIJAE NI UJINGA TU UNASUMBUA.
Masuala ya wazazi yaache kama yalivyo haujui baba alikua anakimbia nini nyumbani mpaka anaenda kukesha uko bar. Kuishi na mwanamke sio rahisi kama unavyofikiri. Chumba cha wazazi kinaficha mengi sana ni vile tu sisi wanaume tuna vifua vya kuficha siri. Wewe kama mtoto baki tu kuwaheshimi wazazi wako wawili bila kuchagua upande
 
Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.

Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
Mama yangu SI inabidi ale pesa ya mume wake?
 
Tafakari hili:-
  • Mtoto si haki kuwasaidia wazazi wake, kwa sababu hukuomba wakulete.​
  • Wao kwa sababu wamekuleta wana haki ya kukupa huduma zote mpaka pale utakapoweza kujisimamia.​
  • Kwa hiyo kuwasaidia ni hisani tu.​
  • Ila kiimani ni vizuri kuwasaidia lakini si kisheria.​
 
Naweza kusema mleta mada ni kiazi kilicho changamka
20250206_084239.jpg
 
Wazazi wote wanapaswa kufaidi sio mama pekee acha hizo mleta mada.
Hii moment wazazi wa kiume wanaipenda sana ila kuitengeneza na kuretain bond kati ya baba na mtoto huwa ni ngumu hasa wakati wao wa ujana....wawnaume wengi wanawekeza pesa kwa watoto bila kujali kuwapa muda watoto mwisho wa siku watoto wanaegemea upande waliokuwa wanapewa muda na affection kutoka kwa mzazi aliyekuwa akiyafanya hayo wakati wa utoto..hiyo huwa inakaa kwa brain ya mtoto hadi utu uzima na inatengeneza bond kat ya mama na mtoto..WaNaume jipeni muda na watoto wenu buana
 
Masuala ya wazazi yaache kama yalivyo haujui baba alikua anakimbia nini nyumbani mpaka anaenda kukesha uko bar. Kuishi na mwanamke sio rahisi kama unavyofikiri. Chumba cha wazazi kinaficha mengi sana ni vile tu sisi wanaume tuna vifua vya kuficha siri. Wewe kama mtoto baki tu kuwaheshimi wazazi wako wawili bila kuchagua upande
ACHENI KUTETEA WAJINGA.
 
UNAJIDANGANYA.
NA WANAUME WENGI WANAJIDANGANYA NA UNAFIKI HUU.

MTU HATA KULA YA WATOTO NI SHIDA,USEME MAMBO YA CHUMBANI TENA?

YAANI UMEAJIRIWA,HULETI CHAKULA NYUMBANI,UTEGEMEE WATOTO WAJUE MAMBO YA CHUMBANI?
 
Kama baba ako alikua hivyo iyo ni kesi yako binafsi, sio kesi ya wakina baba wote

Mimi nimekua nikiona sacrifices za baba kwaiyo siwezi kumshusha thamani. Infact kama ni suala la kusaidia wazazi basi kiasi nitakachompa baba lazima kiwe mara mbili ya nitakachompa mama, kwa sababu najua hela ya mama itaishia kwenye mambo yake binafsi wakati ya baba kwa asilimia kubwa itatumika kwa masuala ya nyumbani
 
Sio wanawake Tu,jumuisha anasa zote yaani pombe, wanawake na kamari.
Hiyo vitu ni Adui mkubwa Sana kwa mwanaume yeyote.

Tufanyeni anasa kwa kiasi ili tusije wasahau familia zetu
Mimi kamari SIjawahi, pombe imenikataa natapika Ila hao wanawake😮‍💨
 
Kama baba ako alikua hivyo iyo ni kesi yako binafsi, sio kesi ya wakina baba wote

Mimi nimekua nikiona sacrifices za baba kwaiyo siwezi kumshusha thamani. Infact kama ni suala la kusaidia wazazi basi kiasi nitakachompa baba lazima kiwe mara mbili ya nitakachompa mama, kwa sababu najua hela ya mama itaishia kwenye mambo yake binafsi wakati ya baba kwa asilimia kubwa itatumika kwa masuala ya nyumbani
KWANI NIMESEMA NI BABA YANGU AU AKINA BABA WOTE?

HIVI UNAANDIKA NINI MKUU?
 
Kama baba ako alikua hivyo iyo ni kesi yako binafsi, sio kesi ya wakina baba wote

Mimi nimekua nikiona sacrifices za baba kwaiyo siwezi kumshusha thamani. Infact kama ni suala la kusaidia wazazi basi kiasi nitakachompa baba lazima kiwe mara mbili ya nitakachompa mama, kwa sababu najua hela ya mama itaishia kwenye mambo yake binafsi wakati ya baba kwa asilimia kubwa itatumika kwa masuala ya nyumbani
KWANI NIMEKUZUIA KUONA SACRIFICE ZA BABA YAKO?

HALAFU KWANINI MNADHANI KUSAIDIA NYUMBANI NI JAMBO LA LAZIMA?

WATU WENYE AKILI,HUWEKA AKIBA KWA AJILI YA WATOTO,ILA WAPUUZI HULEA WATOTO KWA AJILI YA KUJA KUSAIDIWA WAKIKUA.

UNAPOSEMA WEWE UNAMPA BABA HELA MARA MBILI KULIKO MAMA NAKUSANGAA SANA,INGEBIDI YEYE NDIO AKUPE MALI YA WEWE KUIRITHI NA KUIENDESHA ILI UKIMPA CHOCHOTE KIWE NI FAIDA ZA URITHI ALIOKUPA.

MSIDANGANYANE ELIMU SIO URITHI.
 
Back
Top Bottom