Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.

Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
1-Kwa nini lazima awe mama tu?
2-Huna na haujawahi kuwa na baba?
3-Walikuzaa ili wakutumie au ni umasikini tu?
 
Tulipotok kwanza ila mungu ashujuliwe sana Kwa kuumba wanawake maana Wana vinnjia flani kuomba hela Hadi tunabaki kucheka tuuuh
 
Kama una maugomvi na mama Yako peleka huko kwenye familia Yako na mama Yako. Anaanza mama anafata mama anafata mama alafu anakuja baba kama humpendi mama Yako kwa sababu zako basi Fanya Yako
Kama una maugomvi na baba Yako peleka huko kwenye familia Yako na baba Yako. Anaanza baba anafata baba anafata baba alafu anakuja mama kama humpendi baba Yako kwa sababu zako basi Fanya Yako
 
Hii pia ni aina flani ya upuuzi ambao jamii inaupalilia Kwa kasi ya ajabu sana! Kwa nini iwe "hasa mama" wakati baba ndie kavuja jasho ili tumbo lako lijae na kufika ulipofika leo? Baba ndie kabeba baraka za mtoto ninyi endeleeni kujilisha upepo! Samahani mkuu, nimekuquote lakini namjibu aliesema hasa mama.
Nani Kama mama ni agenda ya kishetani, ili watu wasichukue baraka Toka kwa baba zao.

baba ndiye aliyebeba baraka za mtoto rejea kisa Cha Isaka na watoto wake kwenye biblia.
 
Watoto wa single mother mnashida sana ,ushalishwa matango poli baba yenu alikuwa atupendi ukipata mtoto utaelewa.
 
Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.

Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
Hasa Mama?kwani katika hii Dunia umeletwa na Mama peke yake?
 
Hii pia ni aina flani ya upuuzi ambao jamii inaupalilia Kwa kasi ya ajabu sana! Kwa nini iwe "hasa mama" wakati baba ndie kavuja jasho ili tumbo lako lijae na kufika ulipofika leo? Baba ndie kabeba baraka za mtoto ninyi endeleeni kujilisha upepo! Samahani mkuu, nimekuquote lakini namjibu aliesema hasa mama.
Acha Kila mtu aongee kulingana na alivyolelewa,wababa wengine wakishazaa tu wanakimbia familia
 
Sio wanawake Tu,jumuisha anasa zote yaani pombe, wanawake na kamari.
Hiyo vitu ni Adui mkubwa Sana kwa mwanaume yeyote.

Tufanyeni anasa kwa kiasi ili tusije wasahau familia zetu
pombe na wanawake tangu lini vikawa adui wa mwanaume? mbadala wa izo anasa ni upi kwa mwanaume?

acheni visingizio
 
Baba yangu kanifundisha maisha sana sana, yeye ndo wa kwanza kunipa taswira jinsi dunia ilivyo na namna ya kuishi nayo siwezi kumuacha kabisa, ataanza yeye. Mama yangu kanifundisha malezi, jinsi mtoto anavyotakiwa awe. Ukichanganya hapo inakuja mix moja tamu sana ya kiumbe halisi na kamili anayefaa kupambaana na Hali zote zinazomkuta na akatoka salama salmini.
 
Back
Top Bottom