Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
1-Kwa nini lazima awe mama tu?Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kula hela Yako ni wazazi wako hasa mama.
Ila kama utaendekeza wanawake basi nguvu yote itaishia kwa wanawake.
2-Huna na haujawahi kuwa na baba?
3-Walikuzaa ili wakutumie au ni umasikini tu?