Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

Labda anajaribu kufidia miaka ile mitandao haikuwepo, kwa hiyo anafidia kwa ile nafasi aliyoikosa zamani. Wanasema kama hukuendesha malingi utotoni, utayaendesha ukubwani.
 
Drake si mtoto wa juzi tu. Kifani Sugu equivalent yake ni Jay Z, Nas na wengine wa 90's era.
 
Sugu ni mbwiga sana hana agenda yoyote na Mbeya, hana idea yoyote ya Mbeya inataka nini, Jiji la Mbeya ni mandezi wote walimpea Sugu 10 years ya ubunge na hakuna yenye amefanya zaidi ya kujipatia utajiri yeye binafsi.

Mbilinyi hana kitu kichwani kuhudumu kama mbunge. Sugu kichwani ni ndezi.
 
Drake si mtoto wa juzi tu. Kifani Sugu equivalent yake ni Jay Z, Nas na wengine wa 90's era.
Sawa, nikupe page ya Nas uone endorsement anazopost? Nchi anazozunguka Kwa nini hatusemi ni limbukeni?
 
Ila watz tuna vichwa vigumu kweli, hivi mbunge ana bajeti gani ya ku tt ekelwza miradi ya maendeleo jimboni kwake?
 
Binafsi sina tatizo lolote na ubunge wake au kuchaguliwa tena ubunge, shida yangu aachane na mambo ya kitoto.

Ukizijuwa kazi za mbunge na kazi za madiwani na baraza la madiwani itakusaidia kutokudhani kila jambo linamuhusu mbunge.
 
Hiyo na hip hop wazee achen chuki


Hip hop majigambo
 
Hivi bado upo soko matola au
 
Huu ushauri kwanini hukumpa Makonda alipokuwa anasema yeye ndio binadamu anayekula raha kuliko wote?

Ccm ni wanafiki sana.
 
Mwache asijifie atakavyo kikubwa hafanyi watu wasinyanduane na kujisaidia.
Acheni roho za kingese kwani mnapungukiwa nini alikisifia.
Nawe jisifie kama una cha kujisifia.
 
Level ya kisukari chako iko juu sana
 
Mambo ya ma
 
Hili tatizo la kuchanganya L na R limekuwa too much, unasoma bandiko linakuwa kituko mpaka unajihisi kama unaangali comedy.
 
Acha wivu wa kike bwashee
 
Hilo jambo hata mimi nimeliona na halifurahishi. Ana uwezo mzuri sana wa kusemea hoja za wananchi kwa style inayopendeza na hana woga, hayo mambo ya matambo kwenye kundi la masikini na wasio ajira hayawezi kumjenga kisiasa bali ni utoto.
Hataki kuacha, basi na siasa aachane nazo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umefika mwisho tayari kumbe! Ooh hadithi ilikuwa Tami kweli. Hebu irefushe basi achana na kakibamia haka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…