Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
HahaaaaaMleta mada na wewe tafuteni Hela .
Wenye Hela hawalalamiki na Wala hawahitaji mleta mada lofa awasemee au kuwashauri na vi theory vyake Koko ohh production ohh what what atafute Hela
Maskini Huwa na vi theory vya ajabu ajabu na hujitia kuvielekeza Kwa Wenye nazo Eti ohh mabwege Wanapigwa.Hela zao wanalipa halafu lofa anajitia kuwa ohh mnapigwa Wakati uwezo wa kupeleka huko mtoto Hana
Uzuri Wenye pesa Huwa hawapokei ushauri Kwa mtu lofa Huwa wanapeana ushauri wao Kwa wao
Mleta mada lofa vi theory vyako peleka Kwa malofa wenzio
Kupigwa ni uamuzi tu wa mtu 😂😂Kununua kitu kwa bei ya juu = Kupigwa.
ur the true son of your fatherimefikia hatua sasa ubora wa elimu anayopewa mtoto unapimwa kwa yeye kuongea kiingereza fasaha akiwa na baba yake au mama yake wakiwa matembezi weekend.
maarifa na uelewa wa mambo sio kipaumbele.
ndio sababu akina matumbotumbo mmewaona wameanza kuwaandaa watoto wao kwenye stream za uongozi kupitia ccm chipukizi,miaka 10 ijayo haitakuwa tena unajua kiingereza kiasi gani tukupe kazi(hazitakuwepo).itakuwa umejifunza nini shuleni kuja kupambana na masumbwi ya maisha???
anayewekeza $$ kwenye elimu ya mwanaye,asisahau kumuandalia na walau kiwanja\biashara au shamba atakaloanzia.
Wewe pesa unazo mkuu?Au umejitolea kuwa msemaji wa wenye pesa?Mleta mada na wewe tafuteni Hela .
Wenye Hela hawalalamiki na Wala hawahitaji mleta mada lofa awasemee au kuwashauri na vi theory vyake Koko ohh production ohh what what atafute Hela
Maskini Huwa na vi theory vya ajabu ajabu na hujitia kuvielekeza Kwa Wenye nazo Eti ohh mabwege Wanapigwa.Hela zao wanalipa halafu lofa anajitia kuwa ohh mnapigwa Wakati uwezo wa kupeleka huko mtoto Hana
Uzuri Wenye pesa Huwa hawapokei ushauri Kwa mtu lofa Huwa wanapeana ushauri wao Kwa wao
Mleta mada lofa vi theory vyako peleka Kwa malofa wenzio
Duh inasikitisha sana aiseeJirani yangu alisoma Tanganyika international school,,,Ile shule husoma watoto ambao wazazi wao hutoka mataifa mbalimbali huja kufanyakazi Tz.Huyo jirani yangu Kwa Sasa ni dalali WA vyumba mjini.🤣
Jirani angu mwingine alisoma st Mary's school,,,Kwa Sasa ni mwinilisti haya makanisa ya mwendokasi.
Jirani WA tatu alisoma Uganda,,,,Kwa Sasa hajulikani anachofanya(Hana kazi)
🤣🤣🤣 kwa hiyo wanacheza kamari?Wazazi wengi hupenda kupeleka watoto wao shule za bei kubwa sio kwamba wapate elimu bora tu(ambayo kimsingi si kweli) ila pia wapate connection yaani kuwaandalia connection mapema. Sijui nimeeleweka hapa🤔🤔
Maisha yameshabadilika sana tokea enzi hizo aise connection ni muhimu sana.
Hakuna connection yoyote shule za English Medium mkuu Narudia tena hakuna.Usitegemee mwanao asome senti kayumba afu aje awe na connection nzuri baadae ( hapa tunaangalia badae na sio sasa).
Kama una uwezo wa kufanya hivyo fanya maana sio kwaajili yako bali ni kwaajili yake, yaani kwaajili ya maisha yake ya badae.
Maisha Yao Yako sawa na hao wabeba vidumu na mifagio shule za kayumba? Are they equal with them?Paula kasoma shule Tusiime.
Wema Sepetu kasoma Academy.
What are you talking about
ur the true son of your fatherMsome upya mleta mada, mleta mada ana hoja tena hoja ya msingi sana.
Hajamlazimisha mtu asimpeleke mtoto wake kwenye English medium bali amewashauri wazazi wasio na pesa ya uhakika huku wanateseka sasa kuwapeleka watoto English medium. Ule woga itakuwaje ikiwa mtoto atakwenda St Kayumba uwaondoke.
Hamisa Mobetto kasoma Kayumba kuanzia Msingi na sekondari kasoma shule ya kata.Maisha Yao Yako sawa na hao wabeba vidumu na mifagio shule za kayumba? Are they equal with them?
Mleta hajielewi ana pepio la umaskiniKila mtu asomeshe kulingana na uwezo wake.
Usiumie kisa mtoto kwenda shule