LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #101
Ur the true son of your father. Cc JoannahMzazi anayelipa let's say 3M kwa mwaka kimsomesha mwanae kwa miaka 7 jumlisha M4 kwa miaka 6. Jumla 45M kisha gharama chuo M5 kwa miaka 3. Jumla yote 60M jumuisha additional costs inaenda kwenye 80M.
kisha anamtelekeza mwanae atafute hizi ajira za kulipwa 2M kwa mwezi na aanze maisha ya kupanga ghetto na kununua godoro ni mpumbavu.
Unawekeza kwenye elimu fake ya NECTA na madesa ya JALALANI. Na kumwacha mtoto bila mtaji wala kiwanja au nyumba ya kuanzia maisha. Huo ni ulofa.