Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

Ur the true son of your father. Cc Joannah
 
You are the true son of your father cc : Joannah
 
🤣🤣🤣Hivi wewe Likud una uhakika uliendaga USA au mwenzetu ulienda USB?Maana we mitazamo yako imekaa shaghalabhaghala
Am a Gemini. We are the gods of this planet.. Siwezi kuwa influenced na mtu kitu au sehemu yoyote labda Mimi ndio nivi influence na kuvibadilisha mtazamo.

My world revolves around me and me only and not around Americans and their way of thinking.

Nimekwenda Marekani nikiwa ninatambua kwamba mawazo yangu ndio sahihi na bora kuliko mmarekani yoyote yule. Unadhani mtu mwenye mindset hii anaweza kubadilishwa mtazamo wake na watu ambao ana amini yeye ni bora kuliko wao? Haiwezekani.

Ila wewe kwa kuwa unapaona Marekani mbinguni na wamarekani unawaona miungu it will be so easy for you to be manipulated by them.

Ni hatari sana kuwaweka binadamu wenzako juu namna hii ulivyo waweka wamarekani. Watakutawala kichwani na utashindwa kuwa huru kifikra. At the end of the day hapa duniani utapita kama kimvuli.

Marekani ni sehemu ya kawaida na wamarekani ni watu wa kawaida sana kiakili na infact kuna WAJINGA wengi sana Marekani.

Kwa jinsi ninavyo kuona unavyo jibu hoja zako blv me una akili nyingi kushinda wamarekani wengi.

Na kama ukiondoa huo mtazamo wako hasi wa kuwapa wamarekani utukufu mkubwa kiasi hicho Kwenye akili yako basi amini kwamba unaweza kuwa na akili nyingi kushinda 99 percent ya wamarekani.


Shida yako ni ndogo sana my dear. Ni mtazamo tu. Badili mtazamo wako kuhusu Marekani na wamarekani.

Haya repeat after me :

Sema " Mimi Joana ninatamka kwamba mimi ni bora kuliko wamarekani wote" .

UNASUBIRI NINI KUSEMA NAPOKEA?
 
Wapuuzi watakujibu huna hela, ni kapuku, ukweli ndio huo hakuna cha maana sana kwenye shule za english medium, ni abrakadabra na ulimbukeni wa baadhi ya wazazi kufuata mkumbo ili nao waonekane wanasomesha watoto shule ghali kumbe wanaumia bure. Walimu wenyewe ni wababaishaji tu hata kiingereza hawakijui vizuri, watoto wanaongea kiingereza kibovu walichokaririshwa na kufundishwa na walimu wao hao wasiojua kuongea kwa ufasaha lugha ya kiingereza
 
ni kayumba pekee ambapo mtoto anajua

kuna kukosa hela(nauli na ya kula),
usafiri ni changamoto haswaa,
kuadhibiwa sio kwamba unachukiwa,
usitegemee kazi pekee,hata waalimu wanauza visheti,
nk
100% right
 
Ni ukweli kabisa mkuu. Cc Joannah
 
"Hata hayo mamilioni unayo lipa unapigwa tu mkuu ( bwege mtozeni) wala haimaanishi ndio thamani ya anachopewa mtoto wako shuleni"📌📌...
 
"Hata hayo mamilioni unayo lipa unapigwa tu mkuu ( bwege mtozeni) wala haimaanishi ndio thamani ya anachopewa mtoto wako shuleni"📌📌...
100% right ila hawawezi kuelewa watakuja kuelewa baadae sasa hivi wacha waendelee kupigwa
 
Dah very hopeless aisee mtoto anasoma Hopac halafu anakuja kukata viuno jukwaani
Huyo ni asilimia moja katika mia waliosoma Hopac Nenda waliosoma Kayumba asilimia ngapi wako hopeless

Hopac asilimia kubwa hukuti hopeless kwanza zaidi ya asilimia 80 huishia Ulaya na Marekani kusoma huwezi waona vyuo vikuu vya Tanzania huyo ni rare case ya Hopac
 
Cha kushangaa akiingia chuoni analilia kuwa apewe mkopo mpaka watt wenyewe wanaumia kuwa yaani wote Ni watanzania Ila wengine wanalipiwa Ada na bumu wanapewa Ila wengine wanalipiwa. Sio kuwa wote waliosoma private wote Wana uwezo, wengine wazazi walijibana mno. Yaani hapa kinachoendesha human beings Ni ego Wala Hakuna kingine. Mfano naomba uniambie ambacho mtu wa iPhone anachofanya ambacho mie siwezi kukifanya na infinix let say.
Sema I love to have iPhone so that I boost my self esteem,sell image since deep down in my soul I feel inadequacy and gap so am looking how to fill this gap.
Elon musk Hana nyumba na uelewe kuwa ndiye namba moja duniani.
Kikubwa kila mtu fanya kulingana unavyoona Kama umeona kuwa ukivaa kiatu Cha 2m utaongezeka furaha na thamani just do it.
Yaani utumie 80M kwa mtt baadaye aje kulipwa 1.5M Ni ujuha wa kiwango kidogo mno.

Hizi hela ungekuwa umemnunulia hisa in various companies like Tesla,meta,Alibaba, Boeing, Vodafone,apple,Amazon ,etc baada ya miaka 20 angekuja kukushukuru.

Watu bado wako zile enzi kuwa mie nimenunua redio ya Bei kubwa mie nimelipa laki mbili kuzidi masanja yeye alilipa alfu 50 so ana boost self ego.

Do it silently
 
Nachoumia nikiwa huko English media nasikia watt wanabwabwaja kiswahili nikimuongelesha mtt English hola.
Bora peleka hata Ghana ama Cameroon mtt atajua English nzuri mno pia pamoja na french
 

Nimtoe mwanangu Marthin Luther Schools nimpeleke shule ya msingi Chamazi? [emoji28] halafu unasema nitakuja kukushukuru baadae?

Elimu ni gharama na usipogharamikia lazima upate kilicho dhaifu. Ukiona watu wanahangaika na kutafuta Scholarship wakasome nje, ni elimu bora inayotafutwa hapo na sio bora elimu.

Acha kupotosha watu kwamba kayumba kuna elimu bora. Ni nchi zilizoendelea tu kama Marekani ambapo Government Schools zinatoa elimu katika ubora zaidi.

Tanzania hapa ukiwa na uwezo mpeleke mwanao akasome hata shule zenye mtaala wa Cambridge. Tusifarijiane kwenye upuuzi.
 
Elimu bora ni nini?
 
Cha kushangaa akiingia chuoni analilia kuwa apewe mkopo mpaka watt wenyewe wanaumia kuwa yaani wote Ni watanzania Ila wengine wanalipiwa Ada na bumu wanapewa Ila wengine wanalipiwa.

Kuna kidemu naenda kukichakata sasa hivi cha 2004 kimesoma private Primary na O level. Bumu kimenyimwa na kilikuwa na one . Baba ake ndio hawa watu wanao Jibana na kujistress ili kuwasomesha watoto wao private. Kanateseka mpaka nakuonea huruma. Nipo nakafanyia " mipango" mwakani kapate mkopo bodi.
Sio kuwa wote waliosoma private wote Wana uwezo, wengine wazazi walijibana mno.

100%
Yaani hapa kinachoendesha human beings Ni ego Wala Hakuna kingine.

Very right mkuu ndo maana watu wenye hekima wanasemaga fahari ni baba wa ujinga. Unafanya vitu ili kuwafurahisha watu ambao hata hawakupendi. 🤣🤣🤣
Yaani utumie 80M kwa mtt baadaye aje kulipwa 1.5M Ni ujuha wa kiwango kidogo mno.

Ni upuuzi wa hali ya juu
Hizi hela ungekuwa umemnunulia hisa in various companies like Tesla,meta,Alibaba, Boeing, Vodafone,apple,Amazon ,etc baada ya miaka 20 angekuja kukushukuru.

100%
Watu bado wako zile enzi kuwa mie nimenunua redio ya Bei kubwa mie nimelipa laki mbili kuzidi masanja yeye alilipa alfu 50 so ana boost self ego.

Do it silently
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…