Insitwaje? Niko karibu na Nakiete ya Mwenge sababu naishi SinzaKama uko sehem ambapo NAKIETE wapo, nenda wanadawa ya mafua nzuri kweli unampakia anapolala
Wanauza kimoja 2,000
Pia hakikisha usafi muda wote sehem anapolala kusiwe na hali ya vumbi vumbi
@Mshana Jr Kitungu swaumu nakisaga halafu nachanganya ndani ya maji ya chumvi au unamenya?Mara mbili kwa siku matokeo ni ndani ya saa 24
Mshana Nimekutext telegram.. Please check..Kisage uchanganye pia umpake kifuani
Ngoja ntaenda kutafutaKifua syrup bei yake haizidi 3000
Huyo bado yuko kwenye maziwa ya mama.. Mama ndio ale vizuri.. Sishauri muanze kumpa vyakula katika umri huoHabari?
Samahani hivi ni vyakula gani husaidia kuimarisha ubongo wa mtoto kuanzia miez 6??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo naona kuna mawili ukajaribu kuyachekiWakuu nimekuja tena kama mnavyojua uleaji ulivyo. Mwanangu anavipele vikubwa vikubwa vinamsumbua sana, dawa nilizotumia naona zinatuliza alafu vinamkaa mda mfupi vinaludi tena. Mwenye kujua dawa nzuri mniambie.View attachment 2527975
Habari?
Samahani hivi ni vyakula gani husaidia kuimarisha ubongo wa mtoto kuanzia miez 6??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.ntakupa mlejeshoHapo naona kuna mawili ukajaribu kuyacheki
Allergy
Minyoo
Au alternatively check mchafuko wa damu kama hauko mbali na Pwani nikuelekeze mahali pazuri penye tiba sahihi
hakikisha anabeulishwa kila baada ya kunyonya,alazwe kwa tumbo na wakati wa kuoga afanyiwe massage/zoezi la tumbo litakalomsaidia kupunguza gas tumboniMwanangu wa miezi miwili ana sumbuliwa na tumbo kujaa gesi pamoja na kwikwi . MSAADA JAMANI
Aksante mkuuhakikisha anabeulishwa kila baada ya kunyonya,alazwe kwa tumbo na wakati wa kuoga afanyiwe massage/zoezi la tumbo litakalomsaidia kupunguza gas tumboni
Bado ana nyonya ni miezi miwili sahv na week 3Unampa chakula gani?