Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Pole mwaya nilikua napita tu nikukanyage kidogo,..

Tafuta mama mtu mzima akusaidie kazi mabinti watakusumbua na wewe mwenyewe ulivyo binti mtakua mnashindana mwisho wasiku akubebee bwana
Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!
BTw u need therapist
 
Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!
BTw u need therapist
Ona sasa umepanic masikini mtoto wa watu🥲🥲,.
I was kidding ( ila utani wa kweli ndo unaumaga sijui??😂)
Am sorry bhana sikua namaanisha
 
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Yaani nae anajiuliza swali la namna hiyo,"mnakaa vipi na wenye nyumba"?. basi ni tafrani,hapo bado mmeo hajapita nae,mara kachinja mtoto...aloo.
 
Back
Top Bottom