Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Basi, nimeghairi...Kuna nini PM?😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi, nimeghairi...Kuna nini PM?😁
Pole sana, unaonekana mstaarabuPole mwaya nilikua napita tu nikukanyage kidogo,..
Tafuta mama mtu mzima akusaidie kazi mabinti watakusumbua na wewe mwenyewe ulivyo binti mtakua mnashindana mwisho wasiku akubebee bwana
Kwanini mkuu😬😂,.Pole sana, unaonekana mstaarabu
Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!Pole mwaya nilikua napita tu nikukanyage kidogo,..
Tafuta mama mtu mzima akusaidie kazi mabinti watakusumbua na wewe mwenyewe ulivyo binti mtakua mnashindana mwisho wasiku akubebee bwana
Ila doctor 😂Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!
BTw u need therapist
Mueleweshe vizuri usije kuyatimba...Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!
BTw u need therapist
Kwamba wanapenda ugomvi sana kuliko kula😂😂😂Angekuwa Mpaji Mungu au Lethergo kingewaka 😂
Mmh anyway 🤷Vizuri 🤝Kwamba wanapenda ugomvi sana kuliko kula😂😂😂
Hamna bhana mda mwingine unakua tu against kidogo asione anasapotiwa kila kitu😬🌚
Ona sasa umepanic masikini mtoto wa watu🥲🥲,.Atanibebeaje bwana na wakati Mimi ni bwana mbona kama unapiga ngoma na kuicheza mwenyewe!
BTw u need therapist
Yaani nae anajiuliza swali la namna hiyo,"mnakaa vipi na wenye nyumba"?. basi ni tafrani,hapo bado mmeo hajapita nae,mara kachinja mtoto...aloo.Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
BTw ni nini? Bluetooth window auYeah sometimes inabidi ujifunze kwenda na mdundo wa mziki
BTw mm sio Dr.
Attention seekers kama hawa unawatikisa tu kidogo sometimesMmh anyway 🤷Vizuri 🤝
Usilie mtoto wa kiume... Stay strong evn when xmebody chokoza youNdio utani unauma na nimeumia kweli nipo nalia🥺🥺🥺🥺🥺😭😭😭