TOKA MAKTABA:
Waziri Siyovelwa ajiuzulu
alikuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais yenye dhamana ya Idara ya Usalama wa Taifa.
Kashfa ya mauaji, utesaji yafanya Peter Siyovelwa ambaye alikuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais yenye dhamana ya Idara ya Usalama wa Taifa.
Lakini kati ya hawa wawili, ni uamuzi wa Mwinyi, anayetarajiwa kuzikwa huko Zanzibar Jumamosi, Machi 2, ndiyo ambao umebaki kwenye kumbukumbu za Watanzania walio wengi.
Hii inatokana na uamuzi wa makusudi aliouchukua Mwinyi, aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 98, wa kumuandikia
barua Julius Nyerere, aliyekuwa rais wakati huo, hapo Januari 22, 1977, akimuomba kiongozi huyo aruhusu kusudio lake la kujiuzulu kufuatia kashfa hiyo iliyokuwa inahusisha maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama.