Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

TOKA MAKTABA:

Waziri Siyovelwa ajiuzulu
alikuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais yenye dhamana ya Idara ya Usalama wa Taifa.

Kashfa ya mauaji, utesaji yafanya Peter Siyovelwa ambaye alikuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais yenye dhamana ya Idara ya Usalama wa Taifa.

Lakini kati ya hawa wawili, ni uamuzi wa Mwinyi, anayetarajiwa kuzikwa huko Zanzibar Jumamosi, Machi 2, ndiyo ambao umebaki kwenye kumbukumbu za Watanzania walio wengi.

Hii inatokana na uamuzi wa makusudi aliouchukua Mwinyi, aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 98, wa kumuandikia barua Julius Nyerere, aliyekuwa rais wakati huo, hapo Januari 22, 1977, akimuomba kiongozi huyo aruhusu kusudio lake la kujiuzulu kufuatia kashfa hiyo iliyokuwa inahusisha maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Kumbe hata Peter Siyovelwa aliwahi kujiuzulu?? Sikujuwa hili
 
Ndiyo uzuri wa intaneti imejaa historia ya jinsi mababu na wazee wetu walivyokuwa waadilifu kuwajibika na kuumia kwa uchungu mkuu wanapoona wanaowasimamia wamekengeuka. Na kama viongozi waliamua kujiuzulu kukubali kuwa kuna pahala walishindwa na pia kutuma ujumbe kwa walio chini yao.
 
Asante kwa hizi data
 
Ilikuwa ni publicity stunt ili wafadhiki waone tuna nia kweli ya kurekebisha lakini moyoni hakuna nia.

Hata yale maigizo ya kuchanja chanjo mnazi mmoja yalikuwa for the camera ili.fedha zije za kupambana na covid
Kiongozi mimi naona jeshi la polisi limeshindikana kwa mabavu na ubabe wanaotumia. Kwa hili serikali haitoi kauli.
Tume ya haki jinai iliekekezwa kutoa mapendekezo ya kurekebisha mwenendo wa jeshi la polisi. Kwa masikitiko tume imejikita ktk kuondoa majeshi mengine kama Uhamiaji, Zimamoto, Takukuru,na Askari wa hifadhi hivyo kukwepa kitu walichotakiwa kufanya.

cc Kalamu
 
Kama nakosea naweza kusahihishwa lakini nachojua Haki jinai inaanzia pale mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa polisi
 
Ninavyo elewa mimi kutokana na majibu yako kwa huyo uliye mjibu; unamweleza kuwa mwenye madaraka ya uongozi wa nchi hii ameshindwa kuongoza.
 
Uko sawa. Hawa waliokamatwa wako mikononi mwa Polisi kama Sativa waliyemtupa Katavi baada ya kukaa naye Oysterbay karakana
 
Mallya bado yupo kazini na mshahara wake uleule.
Kuendelea kupata mshahara siyo kosa. Kwenye utwala wa sheria mtu anapisha nafasi aliyokuwa nayo ili kufanya uchunguzi. Wakipata ana hatia ndiyo anasitishwa kazi. Makosa mengine pia siyo ya kumfukuza kazi bali yanahitaji karipio kali, demotion au kupunguza mshahara.

Si sahihi kufanya makosa kama aliyofanya Magufuli ya kutumbua watu bila hata ya uchunguzi
 
Ninavyo elewa mimi kutokana na majibu yako kwa huyo uliye mjibu; unamweleza kuwa mwenye madaraka ya uongozi wa nchi hii ameshindwa kuongoza.
Meanings are in people. Yaweza. Kuwa tafsiri pia kwa mujibu wako wewe
 
Kuendelea kupata mshahara siyo kosa. Kwenye utwala wa sheria mtu anapisha nafasi aliyokuwa nayo ili kufanya uchunguzi. Wakipata ana hatia ndiyo anasitishwa kazi. Makosa mengine pia siyo ya kumfukuza kazi bali yanahitaji karipio kali, demotion au kupunguza mshahara.

Si sahihi kufanya makosa kama aliyofanya Magufuli ya kutumbua watu bila hata ya uchunguzi
Ukisikia kupisha si kubadilishwa ofisi, unasimamishwa kazi mpaka sakata lako litakapoisha, huo ndio utawala wa sheria unavyofanya.
 
Back
Top Bottom