Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

Asiekubali kushindwa si mshindani. Waarabu Bado wanamiliki soka Afrika. Mkifungwa ndio akili za mpira zitakaa sawa.
 
Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
Wewe unalalamika kubebwa bila shaka ni shabiki wa uto....vituko kwenye ligi yetu huvioni..nyinyi. si mlizawadiwa penalty vs tabora lakini alhamdulilah mkakosa.. 😂 kuhusu maswala ya kubebwa timu hizi simba na yanga ndo tusiongee kuna madudu sana kama hayo kwenye ligi yetu
 
Watakuja kwa mkapa na walivyo Awana bahati wanakuja kipindi kibaya sana ambacho akuna rangi wataacha kuiona wakawaulize wenzao belouzdad wawape Salam!
 
Mlishadadia mwezi mzima mkawa upande wa waarabu wale wasafiksheni ooh wameonewa ooh muda uliisha nyambafuu.....leo ndo mnawaona wabaya....
Bado mpigweee mchakaee tena refa awafanyie figisu Benjamini mechi ya trh 19
 
Tatizo mna matokeo yenu mnayoyataka mbona mechi iko bien tu
 
Nyie huku si mnajifanya hamjui kuhonga, tulieni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom