Mzee wa makamo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2024
- 200
- 444
wanahasira utadhan wenyewe walishindaMwana utopolo punguza jazba andika kwa usahii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanahasira utadhan wenyewe walishindaMwana utopolo punguza jazba andika kwa usahii
Siyo makofi tu. Kumshika kwenye papuchi yake (kama ni wa kike).Nakubaliana Nawewe.
Ukiwa na Hasira za Kikurya unaweza mtia refa makofi
Mimi sipendi dhulmawewe yanga ee
We mkia na wewe umeandika vizuri?Na nyoe mliokandwa 2 na MC Alger mlionewa?
Sasa ile penalti ni sahihi?Tatizo unatazama mechi huku una kalkuleta. Mbona gemu ipo freshi tu
Alaaaaaa, basi sawaMimi nafuatilia JF hasa siasa. Ghafla ndo nakutana na post yako, hapo ndipo nilipojua kumbe kuna timu hizo zinacheza leo
Kwani mbali, kesho tuYakitukuta tafadhali usisite kutupa pole mkuu
Mazembe timu yangu ya utotoni, ila sasa hivi naipenda simbaEti wewe unaeumia, kwani umeanza lini kupenda mazembe?
Wewe unalalamika kubebwa bila shaka ni shabiki wa uto....vituko kwenye ligi yetu huvioni..nyinyi. si mlizawadiwa penalty vs tabora lakini alhamdulilah mkakosa.. 😂 kuhusu maswala ya kubebwa timu hizi simba na yanga ndo tusiongee kuna madudu sana kama hayo kwenye ligi yetuMwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
Sio penati, imefutwa, matokeo ni 0-0Sasa ile penalti ni sahihi?
Endelea kujifariji waje wawashenyente hapahapa mzimieWatakuja kwa mkapa na walivyo Awana bahati wanakuja kipindi kibaya sana ambacho akuna rangi wataacha kuiona wakawaulize wenzao belouzdad wawape Salam!
Au ukapasua TVNakubaliana Nawewe.
Ukiwa na Hasira za Kikurya unaweza mtia refa makofi
Penalty ni sahihi..wewe ni takoHio penalty hadi aibu