Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)


Waache waambiane Ujinga huko.

Diploma ni nzuri kwa Technical Courses kwa anae taka kujiajiri sio kwa anae taka kuajiliwq, Mtu unasomaje Diploma ya Nursing, Education, Sijui mifugo unless wewe ni wa kike
 
Wakuu heshima mbele.

Nashukuru kwa mawazo yenu, ila kwa uhalisia mjadala huu umebeba maoni ya uzoefu binafsi zaidi kuliko hoja za msingi zenye kuangalia:

Malengo ya elimu (kitaaluma na kiuchumi)

Mfumo wa kitaifa wa elimu

Soko la ajira kwa takwimu

Muktadha wa kimataifa (kama TCU, NACTVET, na sifa za vyuo)


Nawaalika tutoe hoja

=> Ni mfumo upi wa elimu unaandaa mwanafunzi kuwa mbunifu na si tegemezi wa ajira?

=> Ni ipi nafasi ya Advance katika programs kama Medicine, Engineering, Law n.k. na kwa nini TCU haikubali Diploma moja kwa moja kwa baadhi ya hizi kozi?

=> Kwa vigezo vya learning outcomes, kati ya Diploma na A-level, ni ipi inayojenga uwezo wa kuchanganua, kuandika kitaaluma, na kufanya utafiti?

=> Katika mfumo wa elimu wa dunia, mfano Afrika Kusini, Kenya, au Ulaya – je Diploma ya baada ya O-level hupewa uzito sawa na Advance?

=> Je tukiweka kando 'ajira haraka' na 'kuzoea maisha ya chuo', tunaweza kuthibitisha ipi ni elimu yenye msingi wa kudumu, si ya muda mfupi?

🔄 Binafsi nadhani mjadala huu usiwe wa "mtu fulani alikuwa noma kuliko mwingine", bali tuangalie muktadha wa elimu kama nguzo ya maendeleo ya Taifa.

Karibuni tuchambue zaidi kwa hoja.
 
SHUKRANI MKUU heshima mbele, mjadala nadhani sasa utaenda vyema kupitia huu mwongozo.
 
Waache waambiane Ujinga huko.

Diploma ni nzuri kwa Technical Courses kwa anae taka kujiajiri sio kwa anae taka kuajiliwq, Mtu unasomaje Diploma ya Nursing, Education, Sijui mifugo unless wewe ni wa kike
Umeandika vizuri ila mwishoni ukaachia ushuzi wa kuleta ubaguzi wa kijinsia.
 
Vyote ulivyoamdika hapa ni upambavu wa mavi kabisa kusoma ni umaskini ondoa huo ujinga kichwan mtoto mtaftie njia za pesa hizo shule ni za wajinga,,, cha muhim km mtoto anajua kiswahili na kingereza kuongea,kusoma na kuandika pia na hesab za kawaida kujumlisha,kutoa,kugawanya na kuzidisha watanzania mtabadilika lini elimu za mavyeti ni utapeli hizo vyeti ni makaratas tu
 
Mbona huko afya ndio Kuna course nyingi za cheti na diploma na vyuo vipi vingi sana , unataka kusema tunatibiwa na watabibu wasio Bora?
 
Mkuu umekula kweli leo? ni kama unaandika mikono ikitetemeka kwa njaa.
 
Wewe ndo mpumbavu na nusu. Bila elimu madini yatachimbwa na wajinga wajinga kama wewe au mtaomba wazungu waje? Au unadhani hizi biashara za uchuuzi wa bidhaa za kichina ndo ujanja? Nchi inatakiwa iwe na export ya akili kubwa nje ya nchi ili kuleta mapinduzi.
 
Kwa zama hizi , ni heri kumshauri aendelee na diploma, kutokana na mabadiriko makubwa ya wakati, kwani hata akienda advanced level kule ni sawa na hakuna anachoongeza zaidi ya umri tu, ila ni vyema sana ajiendeleze diploma
 
Hapo shida inaanzia pale ambapo watoto wanasoma kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha nne bila kuwa na mawazo ya ndoto yake ya baadae.

📌Akifikia muda wa kuhitimu kidato cha nne anaanza kukurupukia michepuo 🙌
📌Na hata akiupata mvhepuo hajui vhuo kikuu ataenda kusomea nini ???

Sasa, hujachelewa muulize anataka akasomee nini au awe mtaalamu wa nini endapo atafika chuo kikuu???.
Akimujibu , muulize na alipo kuwa primary alipenda kuwa nani ???
Hapo fanya kulinganisha majibu .Na hatimaye kama yamepidhana sana mupe muda afikiri tena kama yupo sahihi kwa maamuzi ya sasa.



Jibu atakalo kupa njoo utuulize sasa kama atapita diploma huo utaalamu anaweza kuupata mbeleni (Mfano; Geologist Engineers hawa hawapitii diploma ni 5 na 6.



🚨Kwahiyo kutokan na kile anachotaka kusomea ndo tutamwambia apitie wapi .
SASA NIPE TAARITA YA YEYE ANATAKA KUWA NANI ???
 
We mpambavu wewe unachojua ni kupiga puli tu labda ni kuulize huo uchawa kwa zezeta uliusomea wapi km sio njaa,,,ulichosomea leo unakitumia wap? Elimu ya bongo ni manual tu hizi tena kuna manual zinakuwa zimenyooka kuliko hata elimu ya bongo,,, unamsumbua mtoto kusoma sodium (Na) na ma Chlorine (Cl) mwisho wa siku anaishia kuwa chinga mlete kiongozi wako wa juu tupambane maarifa unaongozwa na mtu ambaye hata fractional distillation haijui hata wewe hii hauijui nina uhakika kaa makin huo uchawa mwisho wa siku utakuja shikishwa ukuta au km unajiamin njoo tushindane maarifa na mimi
 
Wewe ni m1 wa tz wenye akili hii elimu ni mavi haina kitu zaid ya kusumbu mbongo za watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…