Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

You have a point boss...
 
Wa ndani ya nchi.Wasio na mpango wa kwenda kufanya kazi nje ya nchi
Ndio wanahangaika na vi diploma
Nje ya nchi unasemea wapi? Kuna wahandisi Kibao tu wako nje ya Nchi Tena ambao hawajapita form six,

Ngoja Nikupe mwangaza ili ujifunze Kitu Kuna wanafunzi ambao wanatok secondary na Ufaulu mzuri sana na Wanapangiwa Technicial College moja Kwa moja Tena Ufaulu hapo ni lazima uwe na division one ndio utapangwa technical College kama Arusha tech, Mbeya tech au Dar tech huwa wanasoma diploma for 3 Yrs then wanaendelea na degree for 3 Yrs Tena there after mtu anaweza kuamua kusoma masters au lah

Sasa nikuambie tu field ya uhandisi imejaa watu wa Namna hio na ndio Wana run hio industry iwe hapa nyumbani au Nje ya hapa Kuna wahandisi Kibao wako Botwswana, Qatar na Namibia wamepita ivo

Mtu anakuwa enrolled technical school kuanzia form one anasoma shule kama Tanga tech au Donbosco then anamaliza form four anafaulu vizuri anapangwa Vyuo kama Arusha tech au DIT.
 
Wewe sio msomi ni kubwa jinga na utatumika vibaya sana iv kwa akili yako hiyo ndogo mtoto wako utamrithisha huo uchawa,,,kwanza wewe hujion kama ni mdhaifu sana umechagua kuwa mtoto wa mama kweli? Haya sawa umesema umesoma yan kusoma kwako kotee ukaona uchawa ndo kazi nzuri hapo ni unatumika tu kama chupi ikiisha inatupwa,,,,mimi kukwambia hivi nakupenda japo utaona kama nakutusi kizazi chako unachozalisha hakitaris huo uchawa kwaio hapo upo kukata mnyororo wa uchumi kwenye kizazi chako hao uliosema wapo Google sijui huawei baada ya muda wao kuisha watabaki tu mazwazwa maana wanaishi kwenye plan ya mtu ya kutafta hela,,,hamjamuona yule jamaa alikuwa BBC mzee mimi ni S.... K... nikiwa London baada ya mkataba wake kuisha pale au bernad Morrison licha ya kuwa kwenye vilab vikubwa saiz yuko wap mi nakushitua mapema tu usijeshituka umri umeenda ndo ukaanza kugundua kumbe ulikuwa unatumika tu na waliokuwa wanakutumia wanabaki na status yao na unapoharibikiwa hawana huruma na wewe wanachukua mwingine wanamweka jenga estate zako ambazo hata kizazi chako cha kwanza zitawasaidia
 
We jamaa Acha kusema Uongo, Majority ya Watu waliopo kwenye filed za technical ni diploma holders niamini Nina uzoefu na huo Upande sana
Hapa ishu sio sabab kwamba diploma wapo vizuri nooo... ishu hapa ni mishahara yao midogo kwaio boss lazma aajiri wa diploma ili abalance fedha hii sio kwa makampun binafsi tu hata serikali ndo inachokifanya chukulia tu mwalimu wa certificate alikuwa analipwa 300000 na upuuz alaf mwalimu wa degree analipwa 800000 hapo ungekuwa wewe ungeajir yupi?
 
Kijana naona kama bado huelew mambo yanaendeje kwenye nchi yale yanayokatazwa ndo chanzo cha pesa tunawakataza ili tule sisi tu huko ulikosemea huwez mkuta mtoto wa maskin huko jiulize?
 
Ni UD peke yako ndio Wana hio culture ila the rest ya vyuo vyote vya uhandisi Wana prefer Diploma holders
Sio wana prefer vyuo vipo kwaajiri ya kutafuta wateja dogo ndo mana kunavyuo wanatangaza hata ukiwa na D mbil unaenda kusoma na hawa wa D mbili ndo wapo kwenye Field alafu mnataka nchi iendelee kiteknolojia na watu wa D mbili
 
Mtu kama wewe kwa akili fupi ulizo nazo kutapeliwa ni rahisi sana. Kuna wapumbavu wengi hapa JF hudhani ID yangu ndo ya Mama Samia au chawa wa mama bila kujua uhalisia wa maisha yangu. Hilo gazeti uliloandika ni upuuzi mtupu maana hunijui sikujui.
 
Huo u-nondo mnaowasingizia waliopita Diploma ni upi? Mimi binafsi nilipita Diploma ile ya miaka ya nyuma ambayo mnasoma hadi mnaanza kuwaambia wanaosoma Shahada hawawazidi kitu, lakini baada ya kwenda kusoma Shahada niligundua sikua na kitu cha ziada kwenye masomo ninayoyasoma (labda masomo machache saana ya miaka ya mbele ndo yalikua na mfanano), nimebahatika kufundisha chuo kuanzia ngazi ya Diploma ninafahamu hali ya wanafunzi wangu.

Sijaona faida yoyote aliyoipata mwanafunzi aliepita Diploma kwa kozi za Afya (hasa hizi za sikuhizi za Nactvet). Zaidi ya kujikuta mjuaji kwa vitu vichache alvyokalili.

Labda sababu pekee inayoweza kunifanya nimshauri mtu kwenda Diploma ni ongezeko kubwa la ufaulu kwa kidato cha sita. Hali ilivyo sasa kama mtoto hana uhakika wa kupata Div I ya point 5 kushuka chini, kozi za Afya ataishia kuzisoma kwenye kitabu cha Mwongozo cha TCU, ambapo kwa aliepita Diploma akipata GPA ya 3.5 anakua na uwezekano wa kupata Admission kwasababu vyuo huwa vina nafasi maalum za wahitimu wa Diploma.
 
 
Bora umekuja kumaliza utata wakati watu wa certificate na diploma tunaishi nao reasoning zao ziko chin sana ingawa wapo pia wa advance ambao wapo kama hivi ila ni wachache sana wao kinachowachanganya ni kuona namba yao ya kuajiliwa kwenye diploma ni kubwa kulko wa degree wanadhan wa diploma ni bora hapo mshahara ndo huwa unawabeba wa diploma kwa sababu ni mdogo
 
Watu wanadanganyana na kuaminishana hizo hadithi, lakini kwenye uhalisia haipo hivyo.

Kwa upande wa afya, ubora wa Daktari, Muuguzi, Mfamasia, Mteknolojia maabara na wataalam wengine wote (Ukiondoa Radiolojia ambao kuna utofauti wa elimu zao kati ya Stashahada na Shahada), unategemea zaidi utayari wake wa kujifunza, kujituma na kuhakikisha anakua na utofauti sokoni.
 
Nimekuelewa sana mkuu hapo kwenye utayar ndo umemaliza kabisa
 
Sio wana prefer vyuo vipo kwaajiri ya kutafuta wateja dogo ndo mana kunavyuo wanatangaza hata ukiwa na D mbil unaenda kusoma na hawa wa D mbili ndo wapo kwenye Field alafu mnataka nchi iendelee kiteknolojia na watu wa D mbili
Huna unacho Kijua mzee, Mdogo wangu alipata One ya nane Tanga technical first selection yake aliweka Chuo akapelekwa DIT amesoma pale kamaliza kaendelea na degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…