Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Mimi Nina kampuni nime prefer Technicians Kuliko wahandisi kwasababu what an engineer does, Technician anaweza kufanya Pia Tena Kwa usahihi izi elimu sometimes ni mindset na utayari tu wa Kujifunza kwasababu kinachokuwa offered college hakifikia ata Nusu ya Kilichopo sokoni.Bora umekuja kumaliza utata wakati watu wa certificate na diploma tunaishi nao reasoning zao ziko chin sana ingawa wapo pia wa advance ambao wapo kama hivi ila ni wachache sana wao kinachowachanganya ni kuona namba yao ya kuajiliwa kwenye diploma ni kubwa kulko wa degree wanadhan wa diploma ni bora hapo mshahara ndo huwa unawabeba wa diploma kwa sababu ni mdogo
Sauwah genius 😂👍Na iko hivyo, Diploma in shortcut ya vilazaa,
😂😂😂😂😂
NdiyoooSauwah genius 😂👍
Koo shule anaenda kukua sio 🤔?Wewe ndio umeongea ukweli shuleni ni sehemu ya kukua kimelimu na kiakili, mtoto wa miaka 18 hadi 20 kumeingiza kwenye ajira ni shida tupu hakuna lolote anaweza kufanya bora akawa shule.
Nikweli kabisaKwa mm niliepitia advance level na kwenda chuo naona Bora mtu apitie ordinary diploma then atajiendeleza kielimu akiwa kazini na pia kazi zinafanywa na ordinary diploma
But kama tunataka kuwaandaa wanasayansi nguli wa utafiti ni vizuri wakapitia advance coz unachimba mambo kwa undani sana
📌Uzi ufungwe!!!!Mfundishe mtoto hizo pesa unazomsomeshea unazipataje acha kumtesa mtoto iv mbona watanzania mnakosa akili? Mi nachukia
Endelea hivyohivyo mzeee mtaendelea kuwa masikini mpaka vivazi vyenu vya kumi na tano,,,Bado sana hizo pesa zake watakula wenye elimu mambo mengi atahitaji wenye elimu wamfanyie, hata kwa ishu ndogondogo.
Tafuta hela kijana elimu ipo njee hapa bongo mchongo pesa tu!Sawa tajiri wa matajiri
Tuko pamoja mkuu📌Uzi ufungwe!!!!
Nikiwa chuo X waliopita Diploma walikuwa na Tania za kututenga tenga na kudharau kiss wamepita Diploma kwa kozi tusomayo Degree .Ilipita Disco ziliwafagia mpaka kujienga wakaacha.Kuna Fani lazima upite advance mfano MWALIMU wa SECONDARY advance inakuhusu maana mbali na kusoma pia uko Live Field kuona Topic zinavunjwaje na walimu,wanaanzia wapi wamalizie wapi,udhaifu wa walimu ni upi ili na wewe uje uboreshe.
Upo darasani lakini pia unaendelea na tafiti za nini uje ufanye utakapokua mwalimu wewe.
pengine kote asee Matokeo yakiruhusu uende Diploma Nenda DIPLOMA
Mwanafunzi wa DIPLOMA ni nondo mno, mtu aliepata Degree kwa kuanzia Diploma na aliepata degree kwa kuptia 5 na 6
Wa Diploma yuko Nondo mno na experience kubwa sana.
Diploma Vs Advance = Diploma
Huo u-nondo mnaowasingizia waliopita Diploma ni upi? Mimi binafsi nilipita Diploma ile ya miaka ya nyuma ambayo mnasoma hadi mnaanza kuwaambia wanaosoma Shahada hawawazidi kitu, lakini baada ya kwenda kusoma Shahada niligundua sikua na kitu cha ziada kwenye masomo ninayoyasoma (labda masomo machache saana ya miaka ya mbele ndo yalikua na mfanano), nimebahatika kufundisha chuo kuanzia ngazi ya Diploma ninafahamu hali ya wanafunzi wangu.
Sijaona faida yoyote aliyoipata mwanafunzi aliepita Diploma kwa kozi za Afya (hasa hizi za sikuhizi za Nactvet). Zaidi ya kujikuta mjuaji kwa vitu vichache alvyokalili.
Labda sababu pekee inayoweza kunifanya nimshauri mtu kwenda Diploma ni ongezeko kubwa la ufaulu kwa kidato cha sita. Hali ilivyo sasa kama mtoto hana uhakika wa kupata Div I ya point 5 kushuka chini, kozi za Afya ataishia kuzisoma kwenye kitabu cha Mwongozo cha TCU, ambapo kwa aliepita Diploma akipata GPA ya 3.5 anakua na uwezekano wa kupata Admission kwasababu vyuo huwa vina nafasi maalum za wahitimu wa Diploma.