Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Nitamuaga wiiiii.
Ila ukipata nafasi uje kutusalimia
Usijali my sweet wifi.
Mie na wewe tena, hakuna wa kututenganisha.
Nitakuwa nakuja kuwasalimia mara mojamoja
 
Madame umeondoka Dar bila hata kuniaga shemeji yangu? Mungu anakuona.

Nakutakia maisha mema huko Mji Mkuu.. Kawachangamshe wagogo huko waache kuomba omba.. Nakuaminia sana shem..

Halafu nimefurahi nazidi kuongeza idadi ya wenyeji wangu huko Dodoma.. Najua siku nikija huko sikosi wa kunitembeza kushangaa Jiji la Dodoma.

Kila la kheri!
 
doh!!!
Dar tushapoteza mmoja wa watu wetu mwenye " kifurushi afya" chake cha hatari!

maisha mema huko makao makuu Madame..
 
Karibu kwetu bibie. Hapa ndiyo Idodomya!! Wenzio tuna miaka zaidi ya 30.
 
Jamani shemeji yangu wa ukweli.
Unajua imekuwa ghafla tu maana hata baadhi ya company zangu za ukweli kama akina Mtambuzi hawana taarifa.

Ila nina imani tuko pamoja kupitia Jf.
Wewe siku ukitaka kuja Dom nipe taarifa utanikuta
 
doh!!!
Dar tushapoteza mmoja wa watu wetu mwenye " kifurushi afya" chake cha hatari!

maisha mema huko makao makuu Madame..
Haahhahaha
Afu wewe.
Ngoja nikaongeze afya Dom mpwa
 
Na sisi tunaoingia na kutoka Dom kwa seminar na warsha vipi?
 
Shemela Madame B mbona sikushirikishwa kwenye haya maamuzi..? Ngoja niiitishe kikao cha dharura kujadili hili..πŸ˜€πŸ˜€
Yaani shemela imekuwa ghafla sana shem.
Ila nina imani bado tuko pamoja kama kawa.
Kikaoni niliaga baadhi shem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…