marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Humu nina mawifi kibao.
Huyo ni wifi yangu kwa kaka yangu Cole Williams.
Mawifi zangu mna damshi wenyewe.
Sema wifi mwallu sijamuona siku nyingi.
Wifi marejesho sijui yu kwapi jamani
Nipo wifi yangu Madame B ...kumbe waenda Dom?