Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu


Shehullohi nimekupenda bure. Asomaye na afahamu

Wacha Vibaraka Wahangaike hapa na kwenye twita sisi tunaomboleza huku tukichapa kazi

Your browser is not able to display this video.


Magufuli umeondoka tuu kimwili ila tuko nawe baba😢

Mungi ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🙏
 

Tunashukuru Mungu kwa kufanya mabadiliko bila kumwaga damu, hatimaye dhalimu kaondoka na udhalimu wake. Sasa ni wakati wa sheria na haki kutamalaki.
 
Shehullohi nimekupenda bure. Asomaye na afahamu

View attachment 1732397

Magufuli umeondoka tuu kimwili ila tuko nawe baba😢

Mungi ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🙏
Asante Mzalendo unaye jitambua. Tatizo huko kipindi cha nyuma walikuwepo wazalendo wa kupelekwa na upepo. JPM kazalisha wazalendo wa kweli katika nyanja zote za maisha ya Watanzania. Kuzomewa kwa mkalimani mpotoshaji mbele ya uso wa dunia kwenye msiba jua watazomewa kwa ubabaishaji watakuwa wengi kwa vitendo na maneno, kwa uwazi na usiri. Ila watakaozomewa watarajiwa wanafikiri wakati umefika wa kujihomolea.
 
Nina uhakika kuwa haya mapambio ya kusigu na kuabudu mwisho wake ni ijumaa, baada ya hapo mtabadilishia gia angani na kuhamishia majeshi kwa mama SSH ili kupata mlo/mkate wa kila siku
 
Nina uhakika kuwa haya mapambio ya kusigu na kuabudu mwisho wake ni ijumaa, baada ya hapo mtabadilishia gia angani na kuhamishia majeshi kwa mama SSH ili kupata mlo/mkate wa kila siku

Asitarajie mapambio ya kinafiki ila junioni yatakuwepo kwa hiari tele. Kinachotakiwa ni juu yake yeye kufanya yatakayo mpendeza Mungu na Watu wa Mungu Watanzania aliopewa jukumu la kuwaongoza na kuwavusha at the time around, hilo tu.
 

Tayari Watu Fulani Wanaanza Kujinasibu kuwa Wao ndio watabeba ndoto ya kutetea Wanyonge ( Misukule) ;
 

Unajua FUTUHI na Maigizo?? Usidanganyike na Agenda Settings,Spinning na Ze comedy za kwenye TV.
 
Hatuhitaji strong personalities kama huyo marehemu. Tunahitaji strong institutions ambao yeye si tu kwamba alishindwa kuzijenga. Hakuzigusa kabisa! Kiongozi anayechukia russhwa ameshindwa kabisa kuibadilisha sharia ya kupambana na rushwa na badala take akapeleka mwanajeshi kuwa kiongozi huku sheria ikiwa ikiwa kibogoyo!
Alilitia bunge kabari akaliacha liimbe na kupiga mihuri nyimbo zake?
Uteuzi wake wa jaji mkuu siyo tu kwamba ulijaa mizengwe na maswali pia.. lengo ni kuumeza mhimili ule.
Itoshe tu kusema mungu amesikia kilio cha wapenda haki na damu za watu wasiokuwa na hatia.
Akawasalimie akina AKWILINA AKWILIN, ALPHONSO MAWAZO, BENSANANE na wote waliouwawa kwa kwa amri zake za kifedhuli.
Hata kushambuliwa kwa Lisu ni kwa amri yake
 
Magufuli ameenda kimwili tuu ila kwa kazi alizofanya na serikali aliyoiacha bado anaishi kati yetu

Tanzania bado ipo imara
mama D Nikuulize kitu kitu gani kikubwa alichokifanya Magufuli ktk ustawi wa jamii katika kuboresha maisha ya watu .
 
What we need mostly is people centred developments and fiscal development in the second place, come this newly presidency.
 
Inampasa kila mtu kujua kimo chake, lazima ujue kuna wenye Power uwapishe. Sote hatuwezi kuwa sawa.
 
Watz tumejawa tu na miroho mbaya,imagn mtu anatumbuliwa kwa kosa ambalo c lake ila watu waliobatizwa wanyonge ndo walikuwa wanashangilia bila kujua madhara yake,vile vile magu alikuwa n mtu wa show off kwa kujibrand kwa wananchi kama mtu anaejutoa kwao ila ukiangalia kwa jicho la kipembuzi ni kama alikuwa anawapumbaza tu,mfano unakuta kuna kero ambayo inahtaj wizara husika kuitatua ambayo ipo kwa watz wengi,ila yy anachokifanya ni kutoa burungutu la hela na kuwapa wale watu walioko mbele ya camera pale ili kutatu hyo kero bila kujua watz weng wana kero hyo hyo.Mim kwangu nampongeza ty kwa kurudisha nidhamu maofsn
 
Mwanaume mzima unakuja kuanzisha Uzi wa Kuonewa huruma.
 
Acha pumba kitu kilichofanya usijue uonevu upo au rushwa ni kuminya uhuru wa habari vyombo havikuwa huru kuripoti vyombo kutwa vinazunguka na yeye kuonesha yupo kanisani mara kampa omba omba milioni angeruhusu vyombo kuripoti kama kikwete tungepata jawabu
 
Hili ndio hasa linawaliza watu ila wapuuzi wachache wakiongozwa na Mange Kimavi wanahisi kuwa watu wanahuzunika sababu ya Equity of wealth status.

Serikali ilikuwa both Proactive and Reactive. Ila sasa tunategemea kurudi kule kule ambako mahakama inawekwa mfukoni na mafisadi na matajiri halafu maskini anaporwa haki yake huku anaona. Serikali ya kulindana kwamba mwenye wadhifa anadhurumu mnyonge na kumtishia kumpoteza.

Endapo mama atakuwa na genge baya la washauri maana nina hakika utawala wa mama Samia by 100℅ utaegama kwenye ushauri wa wanaomzunguka ambao pia wana maslahi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…