mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Na bado watakapo kuja kujua kuwa JPM kilicho kufa na kuzikwa ni Mwili wake tu. Bali maono na utendaji wake unaishi katika nyoyo za Watanzania
Mrithi wake hataweza kukimbia ama kukiyoroka kifuli chake. Kitamuwinda kwa kila aendoko na kila atendalo.
Msiba wa JPM umeweka wazi kilichokuwa kinafichwa na kupigwa vita kuhusu kupendwa kwake zaidi na watu wa maisha ya hali za chini.
Ungeona body language ya wake wa.nausalama waliokuwa wakikaa pembezoni mwa jeneza lake kila liendako pale walipokstazwa kuandamana nslo likuzungusha Jamhuri stadium.
Utengeneza sma kubomoa Urais wa mrithi wake hakuko mbali. Kuta amliwa na nani atakuwa Naibu wa Rais na team ambayo itaundwa kufanyakazibna Mama.
Kumbuka viongozi wengi waliofanyakazi na JPM mpaka anakutwa na kifo mwachoni pa Watanzsnia wengi wanaonekani ni Watu safi. JPM hakupepesa macho wala kuchelewa kutumbua. Ni hapo sasa tutakapoba sura za watubuliwa baadhi kwenye pengie Umakamu na Uwaziri..
Shehullohi nimekupenda bure. Asomaye na afahamu
Wacha Vibaraka Wahangaike hapa na kwenye twita sisi tunaomboleza huku tukichapa kazi
Magufuli umeondoka tuu kimwili ila tuko nawe baba😢
Mungi ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🙏