Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

Basi weka namba hapo tukuchangie kiinua mgongo ili zoezi atasimamia melo
 
Umejoin 2010 na simu gani wakati umeenza kumiliki smart phone 2020?
 
Last time ulisema maisha yamekushinda ni magumu sana kwa upande wako....

ulichomokaje kwenye hio trap??
 
Sherehe lini?
 
Miaka yote 16 JF hawajakupa u senior/Platinum member!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ