Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

"Asante kwa muongozo wako, lakini nimegundua uwepo wangu hapa unakupa 'stress' nzuri sana ambazo unazihitaji. Ngoja nikae kidogo nikuongezee dozi
Kwanza ndio nimejua leo kama upo humu, jina kuubwaaaaaa " mpinzani" unachopinga hakionekani kabisa
 
Ngoja na Mimi niifufue ile ID yangu ya 2008!!

Nakumbuka username tu,nimesahau Password na email iliyotumika ndiyo muziki unapoanzia.
 
Kwanza ndio nimejua leo kama upo humu, jina kuubwaaaaaa " mpinzani" unachopinga hakionekani kabisa
Asante kwa kukiri jina langu ni kubwaaaaa! Umesahau kuongeza kuwa mimi ndio mdhamini mkuu wa stress zako za leo. Tulia dawa ikuingie vizuri
 
Asante kwa kukiri jina langu ni kubwaaaaa! Umesahau kuongeza kuwa mimi ndio mdhamini mkuu wa stress zako za leo. Tulia dawa ikuingie vizuri
Nina tabia ya ku ignore vilaza sasa dalili zimekaribia
 
Unaleta drama kama za De Gunner.

Ulijunga kwa utashi wako
Unaweza kusepa kimya kimya kwa utashi wako vilevile.
 
Unaleta drama kama za De Gunner.

Ulijunga kwa utashi wako
Unaweza kusepa kimya kimya kwa utashi wako vilevile.
Duh, nimegusa penyewe hadi umeamua kuwa msemaji mkuu wa De Gunner? Safi sana, endelea na kazi nzuri."
 
Pole sana mkuu kwa hatua hioo,baadae njoo pale kitambaa cheupe Sinza karibu na Dj mara moja tusherekeee ili swala.
Pia kuna pisi zitakuepo nitakuunganisha na mmoja..
 
Pole sana mkuu kwa hatua hioo,baadae njoo pale kitambaa cheupe Sinza karibu na Dj mara moja tusherekeee ili swala.
Pia kuna pisi zitakuepo nitakuunganisha na mmoja..
Unataka zimwachie jamaa yutiai sugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…