Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Kuna watu wanadai ccm haiwezi kubali spika apigwe chini na upinzani nawakumbusha Mwanza waziri wa mambo ya ndani alipigwa chini yani bosi wa mapolisi alipigwa chini sembuse huyu ambaye hana command kwa mapolisi
Unaweza fananisha waziri na mkuu wa mhimili?
 
Unaweza fananisha waziri na mkuu wa mhimili?
Kwa akili yako hata huo mhimili hata kama hatakiwi na wapigakura wake ndiyo alazimishe?

Sisi wana Mbeya hatumtaki huyo Tulia
 
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
 
Chadema asimame kijana mwingine tupate mawazo mapya
 
Ngumu hii🤣🤣🤣
 
hapo mbeya mjini hakuna mwanachama mwingine wa chadema mwenye uwezo wa kugombea ubunge lazima awe sugu , kama ni hivyo basi wote nyie hapo mbeya ambao ni wanachedema ni ng'ombe , yaani aende bungeni arudi tena aende huyohuyo wengine ni kushabikia tu huu utakuwa ni ujinga, na umenikumbusha jambo demokrasia ndani ya chadema lilikuwa ni tatizo na likiendelea hivo basi chama hakifai
 
Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.
 
Mbeya mjini, Iringa mjinj, Tunduma, Njombe mjini, kwenye uchaguzi hata wenye haki 50%, CCM hawatoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…