Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.

Zingine zote ni biashara tu.
 
Kivipi biashara?
Huoni kinachoendelea?

Hamlambwi fungu la kumi makanisani?

Hamuuziwi maji kwa bei za kiajabu?

Hamuuziwi mafuta kwa bei za kiajabu.

Ngojeni, kama bado, muuziwe mavi kwa bei za kiajabu.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Unataka kutoka nje ya mada sasa

Nimekujibu kwamba mpira si haramu huko unapotaka twende wapi sasa
Huko tunakotaka twende ni pale tunapodai kuwa kuna masheikh wanafundisha watu ugaidi ili kuwadhuru wasio waislamu
 
Umeongea vyema mkuu,hizi timu za Kariakoo zimekuwa za upande mmoja,wadhamini wakuu wametoka wote upande mmoja lakini ni vizuri kubalance mambo inapokuja suala la imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…