Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Daah mhenga umenikumbusha mageto ya kubandika magazeti ukuta mzimaYeah miaka ya nyuma kidogo wakati tunakuwa geto linakuwa na redio (Spika kubwa ya Panasonic) inawekwa kwenye chungu au dumu,ukutani yanabandikwa magazeti, kipindi hicho hamna subwoofer wala sound bar, na demu akija geto anaona geto kali.
Kuna baadhi ya gen Z wamepatikana kupitia hayo mageto. 97,98,99,mpaka 2000 mwanzoni.
Hana, uzao wake umebarikiwa kulikoHIvi we jamaa huna ndugu yako yeyote Mwanamke aliyezalishwa na kuachwa?
Unamkana sio?Sina hizo taarifa za huyo demu š
Enzi zile unakuta kuna mkali anapiga had ceiling board ya magazeti šDaah mhenga umenikumbusha mageto ya kubandika magazeti ukuta mzima
Hahahaaa! Lol.Hahahaha, Tatizo wakiona TV kubwa na makochi ,wanajiachia, kitu kinaingia,kumbe jamaa yeye alikua mpitaji tu
Unaonaje? Embu nielezeeK
Kwamba kwenye tendo watu hawaoni?š š¤Ŗ
Nakumbuka Kaka zangu walikuwa wanapiga Ceiling za MateteEnzi zile unakuta kuna mkali anapiga had ceiling board ya magazeti š
Kwangu inategemea. Kuna wanawake wamekuwa single motherz kwasababu ya tabia mbovu za waume zao, hawa sio kwamba ni malaya mazingira magumu yamewafanya waondoke na kuishi peke yao. Mtu wa aina hii ana kosa gani sasa. Wa kukaa nae mbali ni hawa wameachika mara 4 ,5 au kumi nk, pamoja na ho ma-ex wa mtume. Kama ameshindwa kuishi mtakatifu huyo atakuwa na shida serious.Sio tuu mzazi mwenzake awe amekufa, mwanaume hutakiwi kuwa na single mother yeyote yule hata kama mzazi mwenzake ni Yesu au mtume Mohammed š
Big point ndio maana kwenye suala la kushika mimba huwezi kusikia nguvu za kiume hata wale wa kimoja chali wanajaza mimba cha msingi yai liwe teyari.Mkuu hapo kwenye kukwangua ukoko ni uongo hivi unajua mimba inaingia hata bila kutumia manguvu cha msingi kuwe na upevushaji tu. Mengine ni mbwembwe tu za burudani hasa chomoa chomeka.
Una gubu Kali sana aisee š¤£š¤£š¤£Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako
Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0?
Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili isichomoke, huku baba mtoto akiisugua kwa ndani kabisa kama anakwangua ukoko wa wali kwenye sufuria.
Daah.! sema ngoja tukuache mwanetu. Maana tukiongea sana tutajenga chuki.
Leo umekua mkali sanaSwali zuri sana. Ingekuwa wanawake wanajiharibu wenyewe na kujipa mimba hapo tusingekuwa na cha kutetea ila waharibifu ni wao na bado wanakuwa wa kwanza kutupa lawama huku na kule
Kuna ndoa zimeanzia kwenye mageto design hiyo. Leo watoto wakali wanataka apartment full A/C.Nakumbuka Kaka zangu walikuwa wanapiga Ceiling za Matete
Nikwambie ukweli wanawake wa aina hiyo huwa wanapata waume wengine tena chaapKwangu inategemea. Kuna wanawake wamekuwa single motherz kwasababu ya tabia mbovu za waume zao, hawa sio kwamba ni malaya mazingira magumu yamewafanya waondoke na kuishi peke yao. Mtu wa aina hii ana kosa gani sasa. Wa kukaa nae mbali ni hawa wameachika mara 4 ,5 au kumi nk, pamoja na ho ma-ex wa mtume. Kama ameshindwa kuishi mtakatifu huyo atakuwa na shida serious.
Kwamba mnafikiri hakuna njia ya kujuaUnaonaje? Embu nielezee
Sasa siuseme hiyo njia!Kwamba mnafikiri hakuna njia ya kujua
Kukubali ubaba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kwenye ukichaa. Step daddies ni wa kuwaishwa milembeI second you mkuu Natafuta Ajira . Hili suala haliingii akilini kabisa. Yaani mabinti wazuri wenye bikra zote, wenye joto na msisimko wapo halafu uhangaike na single mama. Tena unapropose kwa kupiga goti,
WHAT A SHAME!
HatusemiSasa siuseme hiyo njia!
Aiseeš¤£makaratasi mnabandikia big Gš¤£Yeah miaka ya nyuma kidogo wakati tunakuwa geto linakuwa na redio (Spika kubwa ya Panasonic) inawekwa kwenye chungu au dumu,ukutani yanabandikwa magazeti, kipindi hicho hamna subwoofer wala sound bar, na demu akija geto anaona geto kali.
Kuna baadhi ya gen Z wamepatikana kupitia hayo mageto. 97,98,99,mpaka 2000 mwanzoni.
Ukibana makalio vizuri unaongeza speed ya spermMkuu hapo kwenye kukwangua ukoko ni uongo hivi unajua mimba inaingia hata bila kutumia manguvu cha msingi kuwe na upevushaji tu. Mengine ni mbwembwe tu za burudani hasa chomoa chomeka.