KyumaππKuwa na mahusiano na single mother inauma ila mhusika hawezi kuonyesha wazi.
Napoishi kuna jamaa ameoa single mother, huyo mtoto ana miaka 15+ hv
Bado tena huyo mwanamke akazaa na mwanaume mwingine huku bado akiishi na huyo jamaa ndani, na jamaa anajua kabisa huyu mtoto sio wangu ila mshikaji yupo tuu kmmk
Ah cjui huyo mwanamke anampa nini jamaa humo ndani mpaka jamaa amekuwa mpumbavu kiasi hiko π
Sitaki kuamini labla imetrend hiviπ€£mimi sitaki kufa baba labla
Aina ipi specifically?Nikwambie ukweli wanawake wa aina hiyo huwa wanapata waume wengine tena chaap
KIpindi chetu ukitongoza mwanamke anakwambia njoo nyumbani uwaone wazazi kwanza, ila sasa hivi!π€Swali zuri sana. Ingekuwa wanawake wanajiharibu wenyewe na kujipa mimba hapo tusingekuwa na cha kutetea ila waharibifu ni wao na bado wanakuwa wa kwanza kutupa lawama huku na kule
Umeoa?KIpindi chetu ukitongoza mwanamke anakwambia njoo nyumbani uwaone wazazi kwanza, ila sasa hivi!π€
Vipi na mwanaume aliyeachwa kwa sababu ya tabia zake mbovu mbovu mfano umalaya, uvivu, uchafu, ulevi uliopindukia nk naye bado anastahili bikra au mwanamke aliyejitunza vizuri!Kuwa na mahusiano na single mother inauma ila mhusika hawezi kuonyesha wazi.
Napoishi kuna jamaa ameoa single mother, huyo mtoto ana miaka 15+ hv
Bado tena huyo mwanamke akazaa na mwanaume mwingine huku bado akiishi na huyo jamaa ndani, na jamaa anajua kabisa huyu mtoto sio wangu ila mshikaji yupo tuu kmmk
Ah cjui huyo mwanamke anampa nini jamaa humo ndani mpaka jamaa amekuwa mpumbavu kiasi hiko π
Jamii zimeharibika sana, tujirekebishe na wanaume mkiweza , walau muoe wake watatu ili kupunguza zinaa.Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako
Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0?
Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili isichomoke, huku baba mtoto akiisugua kwa ndani kabisa kama anakwangua ukoko wa wali kwenye sufuria.
Daah.! sema ngoja tukuache mwanetu. Maana tukiongea sana tutajenga chuki.
WtfKuwa na mahusiano na single mother inauma ila mhusika hawezi kuonyesha wazi.
Napoishi kuna jamaa ameoa single mother, huyo mtoto ana miaka 15+ hv
Bado tena huyo mwanamke akazaa na mwanaume mwingine huku bado akiishi na huyo jamaa ndani, na jamaa anajua kabisa huyu mtoto sio wangu ila mshikaji yupo tuu kmmk
Ah cjui huyo mwanamke anampa nini jamaa humo ndani mpaka jamaa amekuwa mpumbavu kiasi hiko π
Kuna style ukiwekwa maini yote yanaonekana mkuu.Unaonaje? Embu nielezee
Ndo maana wajanja tunatumia kifo cha mendeKuna style ukiwekwa maini yote yanaonekana mkuu.
We dada, ha ha ha haKuna style ukiwekwa maini yote yanaonekana mkuu.
Au wasemaje π
True πππππKuwa muwazi mkuu. We listen and we don't judge
Brother kwema?Mi chichemi π
Mpaka ujue binti njia zote zipo wazi itakua uliomba mkuu wewe pia ni jipuKinacho sikitisha sikuhizi vibint vizuri unakuta Njia zoote ziko wazi cjui Nani anawaharibu
Pull up Malaya ni Malaya tu
Hapana anko siwezi kuomba kisamvu mimiMpaka ujue binti njia zote zipo wazi itakua uliomba mkuu wewe pia ni jipu
π€£π€£π€£Kinacho sikitisha sikuhizi vibint vizuri unakuta Njia zoote ziko wazi cjui Nani anawaharibu
Pull up Malaya ni Malaya tu