Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

Kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Geita wanaishi mkoa wa Mwanza wote .
Matukio ya kutokea Geita wao wanakula bata Mwanza.

Hii nchi inauma sana.
we una roho ya kichawi siyo kwa upuuzi km huu, Mwanza kuna bata gani. We unaijua kamati ya ulinzi ya mkoa kweli? Tutajie mwenyekiti na wajumbe wake. Kwa hiyo kwa upumbavu wenu polisi alinde raia moja moja? Mkauane wapumbavu km nyie mpungue hapa nchini.
 
watu wa hiyo kanda ni km wanyama tu hawana akili, nafikiri shida ni kula samaki waliooshwa na maji na dawa ya kuoshea maiti.
 
Police Hana shida, shida ni watu wa huko ni waovu na wakatili na ni wagonjwa wa akili
 
Tafuteni chanzo cha Mikasa yenu... Polisi mnawaonea .. Kila siku Geita!
Kuna tatizo la kijamii!
Au laana ya Watanzania....[emoji4]
Na huko geita kufanyiwe maombi Wana laana za kumwaga damu
 
Kanda ya ziwa yote imelaaniwa ni jamii ambayo haijaelimika,wakatili na washamba.Kila jambo la hovyo lipo katika hii kanda.

Kanda ya hovyo kabisa pumbavu.[emoji41]
 
Maneno mengi!Alafu utawajiri wakina nani?unaweza kufukuza polisi wote alafu then uajiri wengine?
Inawezekana ndugu tutawakabidhi JWTZ kipindi tunasuka Jeshi la Polisi upya.

Nyerere aliweza kulivunja Jeshi la KAR kwa kutumia Jeshi la NIGERIA inawezekana tena bila khofu.
 
Mwenyekiti— mkuu wa mkoa
Katibu —RPC
Wajumbe
1. TISS MKOA
2. Uhamiaji mkoa
3. Fire mkoa
4. Magereza mkoa
Wote Hawa wote tunakuwa tunakuwa nao na bata mwanza kazi Wanafanya Geita
 
Unataka kusema polisi wangenusa kuwa Milembe atauawa isiku?.
Hii sio sawa
mbona enzi zile mikutano ya ndani ya chadema ilikua inazuwiwa kwa kuwa na intelligensia huko Geita imeshindikana hiyo intelligensia.
 
Huo mkoa si wa Mwendazake?
Wahutu toa Burundi wengi!
 
Mkoa wa Geita ulihitaji RPC KAMA WA MKOA WA DODOMA ( Martin Otieno )TU KWA SASA NA SI VINGINEVYO.
Hivi yule Mkama yuko mkoa gani kweli? Dizaini ya huyo pia ndiyo wale wanaotakiwa kuwepo Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…