saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
we una roho ya kichawi siyo kwa upuuzi km huu, Mwanza kuna bata gani. We unaijua kamati ya ulinzi ya mkoa kweli? Tutajie mwenyekiti na wajumbe wake. Kwa hiyo kwa upumbavu wenu polisi alinde raia moja moja? Mkauane wapumbavu km nyie mpungue hapa nchini.Kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Geita wanaishi mkoa wa Mwanza wote .
Matukio ya kutokea Geita wao wanakula bata Mwanza.
Hii nchi inauma sana.