Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Najua mpenzi Paloma.. Jana nilienda Mbagala kimbangulile kwenda kuangalia kiwanja cha kujenga kwa ajili yako.. Najua watakuja kusema hapa maneno mengi..
cc: Safari_ni_Safari..
oooh siachani naye.....tufagilieni siye........wawawa!!!!
umecheki artwork ya jinsi nitakavyoipimp lakini au unabwabwaja tu?
bibie nyota imenga'aa ndo maana hata simu hupokei hongera kwa mkoko
MziziMkavu nahitaji dawa ya wivu niwaponye hawa viumbe jamani! he nisipendwe?!?!?
Huduma gani unazotoa kwa mke wa mtu Arushaone..? ntakubambikia kesi nyingine shauri zake.. Ninatembea na RB kama nane hivi hazina majina.. mbili ni za wizi wa wake za watu..
hahahhahaaaaaaaaa kazi unayo........embu tua moyo wako kipenzy! hakuna wa kukupora mke wala kukusumbua! tulia tujilie vyetu kwa raha zetu!!! Arushaone tuwache tupumue