Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

ha ha ha Erickb52.. sawa na kupiga simu kwa kidenishi halafu ikapokelewa na mwenye mali.. utatafuta pa kutokea Bishanga..
Hahahahaaa sosoliso niko na bibie Arabela naona account yake ya JF imegoma kulogin ndio akaamua kutumia yangu kumjibu huyo mzee mshakunaku a.k.a macho juujuu ili kumwonyesha kuwa asione vyaelea...vina wenyewe.

Copy kwa zubedayo_mchuzi
 
Last edited by a moderator:
kwenye tent utakuwa na nani?
Arabela nimeshatoa maamuzi na nilikucopia ma dia.
Nitakuwa na wewe mpenzi naomba ujitoe kwa huyo michelini wako atakuua bure wakati unahitaji kudekezwa mtoto mzuri eeeh!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa sosoliso niko na bibie Arabela naona account yake ya JF imegoma kulogin ndio akaamua kutumia yangu kumjibu huyo mzee mshakunaku a.k.a macho juujuu ili kumwonyesha kuwa asione vyaelea...vina wenyewe.

Copy kwa zubedayo_mchuzi

ha ha ha.. anapigwa pande zote.. nashangaa The secretary haoni hizi purukushani zote za huyu jamaa yake.. duuh..!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.. anapigwa pande zote.. nashangaa The secretary haoni hizi purukushani zote za huyu jamaa yake.. duuh..!
Halafu ukifanikiwa kumuona Bishanga mwambie amwambie mkewe asinizoee mi simtaki!
Kwanza kashazeeka nimehamia zangu Airtel ( kwa arabala mtoto wa Tanga mapenzi yalikozaliwa)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sosoliso kipenzy nimemiss sarakasi zakoooo......................
 
Last edited by a moderator:
hahahhaaaaaa..............switat ukinidondosha kama siku ile nakunyima naniliu......

siwezi kukudondosha mahabuba.. unajua hiyo ndo kama catalyst ya kuchochea mchocheo Paloma.. siwezi kukosea hata kidogo..
 
Last edited by a moderator:
hivi unajua huyu Judgement naye eti an'taka (kwa sauti ya kubana pua
wala usimsikilize mwaya!

Yaani Judgement mabinti wote hawa wasio na wenyewe hujatosheka mpaka umfuate mahabuba wangu...? ntakushusha busha..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…