Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
HAKUNA PORISI ANAYESTAHILI NYONGEZA YA MSHAHARA. HAMFAI KBSAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watumishi wafaa kuongezewa maslahi Ila sio maaskari. Waalimu wanafanya kazi katika mazingira magumu kuliko maaskari polisi. Kuna watumishi wa halmashauri maslahi ni duni sana tena Sana.Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Tamaa zinawasumbua tu,huo mshahara mnaolipwa na allowance zinawatoshaRais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Mazingira gani hayo mwalimu hatarishi kumzidi askari?Kuna watumishi wafaa kuongezewa maslahi Ila sio maaskari. Waalimu wanafanya kazi katika mazingira magumu kuliko maaskari polisi. Kuna watumishi wa halmashauri maslahi ni duni sana tena Sana.
Naunga mkono hoja, mpewe tu. Nchi hii kuna wanaokula bila faida Bora mle nyie mnatulinda.Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Mazingira ya waalimu wengi ni magumu ..maslahi duni bila posho . Katika kuongeza maslahi waalimu ndio ingefaa wafukiriwe Kwanza. Kwanini Kada ya waalimu inadharaulika kwasababu maslahi yao ni duni sana. Nafikiri wewe sio mwl kabisaMazingira gani hayo mwalimu hatarishi kumzidi askari?
wenzio wanaenda oparesheni za kuimarisha amani,wanapambana na magaidi/majambazi wakati huo sisi walimu tunakula chaki tu halafu unasema tuna mazingira hatarishi?
Nisiwe mnafiki askari wana njaa mno,maslahi yao ya hovyo.(rejea comment yangu huko nyuma)niliandika jinsi jamaa walivyo na kinyongo.View attachment 2596617
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu.Mazingira gani hayo mwalimu hatarishi kumzidi askari?
wenzio wanaenda oparesheni za kuimarisha amani,wanapambana na magaidi/majambazi wakati huo sisi walimu tunakula chaki tu halafu unasema tuna mazingira hatarishi?
Nisiwe mnafiki askari wana njaa mno,maslahi yao ya hovyo.(rejea comment yangu huko nyuma)niliandika jinsi jamaa walivyo na kinyongo.View attachment 2596617
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zako hazina mashiko.Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .