Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .

Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.

1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ

2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.

3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.

Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.

Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.

Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.

Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.

Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Walimu ambao hawana posho yoyote zaidi ya posho za walimu wakuu tunasemaje?Maana wenzetu wanazungumza kupandishwa wakati walimu hawana hata moja na wote ni watumishi
 
Wewe utakuwa askari magereza, ila Hawa wengine kwa mapande wanayokula hawawezi hata kukumbuka mishahara!
Akina nani hao,kama ni polisi hao njaa tupu nilishika simu ya mdogo wangu(askari polisi) niliona jinsi jamaa wanavyolalama kwenye makundi yao ya whatsapp inaonesha polisi wengi wana stress kuhusu maslahi basi tu hawasemi.

Nawanukuu:-

"Sisi hatuna haki hata ya kuandamana kwaajili ya kupigania maslahi yetu mpaka wakubwa watusemee ila miaka nenda rudi hakuna maboresho yoyote,leo hii tumeingizwa kwenye kikokotoo wakati taasisi nyingine za ulinzi na usalama hazimo katika mfumo huo inaumiza sana"-Wakwanza

"Nina miaka 9 kazini ila hadi leo mshahara wangu haufiki hata 500k, mwalimu niliyeanza naye kazi mwaka mmoja saivi anakunja 700k's hii polisi ajabu sana.Kwa mshahara huu nikistaafu na cheo cha SGT hata hii mil.17 wanayopata wastaafu wa polisi saivi nitaipata kweli?"-wapili

"Tangu nianze kazi nimetuma maombi ya kuomba kulipiwa pango zaidi ya mara 3 ila hadi leo sijapata chochote.Nilienda likizo 2019 hadi leo hii sijalipwa pesa ya nauli japo mia mbovu na madai nilindika.Inatia hasira sana"-Watatu.

"Hili jeshi linahitaji reshuffle leo hii kila jambo limekuwa gumu,unasoma kwa ada yako,unasoma pasipo kuathiri kazi za polisi,watu tumelala nje(kuingia lindo night) miaka 3 ili mchana tuweze kuhudhuria vipindi chuo,mwisho unapata cheti unakitambulisha hakibadili mshahara,hadi ufanye janja janja.."Wamwisho.

Kwa nukuu hizi na bandiko la mtoa mada ni dhahiri shahiri hii wizara yote ni tatizo.Binafsi nawaogopa sana wabeba silaha hawatakiwi kuwa na msongo,stress zao ndizo zinafanya watutese sisi raia tusio na hatia.Serikali muwajali hawa askari wenu.
 
sawaa na nyiee mkiongezewaa
Muwe sasa mnafataa hakii sio kuwa watumwa
Wanasiasa
 
SASA na nyie mtekeleze wajibu wenu Kwa haki BAADHI yenu wanafanya mambo ya ajabu Sana.
 
Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .

Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.

1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ

2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.

3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.

Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.

Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.

Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.

Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.

Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Umeandika Kwa uchungu sana. Rais DR. SSH Msikivu sana atalifanyia kazi na kuja na suluhu ya kudumu. MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA [emoji120]
 
Kuhusu namba 3 Posho ya Pango,sikubaliani na hoja yako!!,Askari waishio Kambini wanatakiwa wakatwe asilimia fulani kwenye mishahara wao ili ziweze kusaidia kukarabati nyumba kila baada ya muda fulani,Ila Askari wanaoishi nje ya kambi ndio walipwe Posho ya Pango!!

Tatizo kubwa nilionalo ndani ya Jeshi la Polisi wanakwamishana wenyewe kwa wenyewe wana allowance nyingi ambazo kisheria wanatakiwa walipwe Lakini hawalipwi!!

Kwa mfano kila askari ana allowance tatu muhimu ambazo anatakiwa kulipwa automatically lakini hawalipwi?!!

Kikubwa kinachochangia ni kuwa Incompetent ya Viongozi wakubwa ndani wa Jeshi ambao wanateuliwa na Mh.Rais,Kuna wakati mwingine unajiuliza inawezekana Viongozi wa ngazi ya Juu ndani ya Jeshi la Polisi huwa hawateuliwi na Mh.Rais!!

Ndani ya Jeshi la Polisi ukiwa na Competent CP ndani ya idara ya Upelelezi,Utawala na Operation,unakuwa umelisuka Jeshi kwa asilimia 80, otherwise malalamiko Kama haya yataendelea kutokea kila wakati,ni aibu kwa Sasa Askari kulalamikia allowances wakati Kamishna wa Utawala kila Siku unamkuta naye Yuko kwenye ziara mikoani!,ishu za kiutawala anazisimamia nani pale HQ?
 
Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .

Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.

1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ

2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.

3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.

Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.

Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.

Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.

Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.

Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Pamoja na rushwa zote mnazokula mnataka nyongeza..... mnaonea watu mnatesa watu ... bado mnataka nyogezaa....
 
Kwanini mnapenda kufanana kimaslahi na JWTZ wakati nyie mna majukumu tofauti na wao basi ombeni mshirikiane kwenye majukumu yao mpelekwe Msumbiji mkawatoe magaidi
Akina nani ambao hawajaenda Msumbiji!
Dogo langu polisi alivuka mpaka hadi Msumbiji karudi juzi tu.Halafu mwezii huu niliona polisi kadhaa wakiagwa wanaenda mission Congo.Kazi zao wote hawa naona ni sawa tu maana wote wanarisk maisha.
 
Si heri nyie ata mna posho ya chakula 10K per day, bado kuna posho ya vinywaji, na vlevle kuna virushwa vya hapa na pale je ndugu WALIMU wasemeje wao!!??
 
Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]
 
Muongezewe maslahi ili mtupige zaidi. Bora wawapunguzie tu kwakweli.
 
Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]
Yan unazungumzia mamb ya kustaafu huko miaka 60 na vikokotoo, kwahyo n sawa mwalim kuteseka katika ujana wake wote kisa tuu akistaafu atakuja kuwa na ya kustaafia ndefu,,, kiuhalisia pamoja na kuwa mwalim anaweza kuw juu kidogo kimshahara lkn maaskari wao wana posho nyingi mno na bado kuna Vikaz vng vya hela mara eskort, n.k,, ila kwny ualim hakuna cha semina wala posho zozte zle., ata tuition tu za kupata mia mbili pia zmefutwa na kupigwa marufuku.

Amini nakwambia laiti ingelikuwa mwalim anaposho hyo ya chakula tu laki tatu nje na mshahara wake basi watumishi walimu wangeongoza kuwa na standard nzur ya maisha...
 
Kwa sababu kila kitu unasema Kam Fulani.. ngoja nikupe na hii ya kina Fulani wakati afande mwamnyaa anakariba kustaaf alikuja na wazo la allowance za ndevu kama ilivyo Kwa jinsia ke zile za mambo Yao.. wahuni wachache wa wizarani wakaleta nuksi ila inakujaaa Tena..Nyie Si mnashindwa kujitikisa kidogo
 
Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .

Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.

1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ

2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.

3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.

Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.

Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.

Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.

Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.

Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Yani aache kuwapa madaktari na manesi wanaoteseka, hawalipwi hivyo vyote, nyie madhulmat, watesi, wala rushwa ndio muongezewe? Watu wapo barabarani kwanza skuizi mna magari tena mazuri, koma kabisa.
 
Acha kutuchukulia kawaida sisi walimu kudhihirisha hilo:mwalimu kila miaka 3 anapanda daraja na leo hii linganisha kikokotoo cha mwalimu na askari ndio utajua mwalimu ni baba leo.Im so proud of my work[emoji4]
Mna njaa mpaka kwenye kucha mnazidiwa na askari koplo tu.
 
Unaombwa kulipwa 450k kama posho ya chakula wakat ndo take home ya mwl flan huko wewe ukilalamika na walimu wafanye Nini? Mama wanyime wanataka vya bure wavivu Hawa .

Kwani huoni hata biashara ufanye 450k unataka kama posho je na vijana walio mtaani kipato hata Cha laki 2 Kwa mwezi hawana wafanyaje acha uvivu huwezi kupata financial freedom Kwa ajira
 
Wanakopeaga hizo wananunua vigari kusumbua wanawake za watu
 
Akina nani ambao hawajaenda Msumbiji!
Dogo langu polisi alivuka mpaka hadi Msumbiji karudi juzi tu.Halafu mwezii huu niliona polisi kadhaa wakiagwa wanaenda mission Congo.Kazi zao wote hawa naona ni sawa tu maana wote wanarisk maisha.
Hata Magereza juzi wameng'oa nanga kwenda Congo
 
Back
Top Bottom