mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Unapoeleza jambo epuka kusema kama Fulani sijui nataka kama Fulani nipe kama Fulani
Shenzi type
Hii ni rejea,ili mpokeaji asijekusema haiwezekani.
Na akiacha ionekane wazi kwamba kaamua kugoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapoeleza jambo epuka kusema kama Fulani sijui nataka kama Fulani nipe kama Fulani
Shenzi type
Walimu someni mpite kimya kimya tutaonana meimosi.Sisi walimu tunakoment wap
Hatuna posho hata mojaWalimu someni mpite kimya kimya tutaonana meimosi.
Heri kazi yenu ina ya "kiwi " kuliko ya waalimu..
Rejea yanini kwani Hao aliowataja wako wanafanya majukumu yanayofanana???kanuni na taratibu zao zinafanana???Hii ni rejea,ili mpokeaji asijekusema haiwezekani.
Na akiacha ionekane wazi kwamba kaamua kugoma.
Posho ya nini si mnauzia pipi watoto wetuHatuna posho hata moja
Hongereni kwa hizo allowancesRais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Rejea yanini kwani Hao aliowataja wako wanafanya majukumu yanayofanana???kanuni na taratibu zao zinafanana???
Wao ushawahi Kuja kuona wanaandika kama alivyoandika huyu wa wizara ya mambo ya ndani bado huoni tofauti baina yao???
Kama Fulani kama Fulani hakuna kitu kama Fulani jeshini Raia ndiye anaweza kusema nipe kama fulani sio kauli ya mwanajeshi hii
AhahaaahaNinyi Polisi na Walimu vita yenu ni moja ila sijui huwa mnaachana wapi !!!
Mwanachuo hapewi hela ya kulisha wengine anapewa ya kula mwenyewe, serikali haijakuajiri na watoto, mke na wazazi wako. Mbona hawalipwi mshahara sasa unalipwa wewe tu?Kakwambia maisha yamekua ghali sana na akatoa moja ya sababu ni mipaka kuwa wazi,hivyo kupelekea ughali wa maisha,hiyo elfu kumi huoni ni ndogo au unamfikiria yeye tu hufikirii familia yake na wategemezi wake wengine ambao wapo nyumbani kwake?
Umewahi kufikiria kwanini wanachuo wameongezewa boom na JW hawalipwi elfu kumi kama wizara ya mambo ya ndani wanavyowafanyia askari waliopo kwenye hiyo wizara?
Hizo hoja zinatakiwa zifanyiwe kazi,zote ni za msingi.
Wasaidizi wa IGP na Rais,wanatakiwa wawafikishie wahusika,kwenye majeshi inasemekana kuna ulaji mwingi sana wa pesa,unafanywa na wakubwa wao,matokeo yake,JW wanaonekana maslahi yao ni makubwa,kumbe wao pesa zinawafikia moja kwa moja,kwenye mishahara yao.
Kwanini BIMA wanakata hata kwa wategemezi,kwanini wasiweke bima kwa askari tu?Mwanachuo hapewi hela ya kulisha wengine anapewa ya kula mwenyewe, serikali haijakuajiri na watoto, mke na wazazi wako. Mbona hawalipwi mshahara sasa unalipwa wewe tu?
Kama vipi hao magereza wasipewe mishahara wapewe nyumba na wawe wanakula kazini wabaki na hela kidogo ya kujikimu tuone kama watakubali. Mbona walimu hawapewi hela ya kula? Kwa hali ya kiuchumi ya nchi elfu kumi inawatosha, hiyo ni nyongeza tu sio ndio utake kulewa hiyohiyo na kula mishikaki hapohapo
IGP hausiki na Magereza.Kwanza Ombi lenyewe limechelewa, maana Bajeti imeshachelewa. Lakini inaonesha ni jinsi gani woga ulivyojaa kwenye jamii yetu ya Kitanzania. Anapokuja IGP ni kwa nini huwa hamumwambia hayo mambo??
Kwani sasa hivi mshahara wenu ni shilling ngapi?Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Kuna mahali kasema Polisi na Magereza mimi nikachagua Polisi.IGP hausiki na Magereza.
Maumivu ya kichwa huanza taratibu.....Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk .
Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa.
1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa ambapo posho hizo zinaliwa na wajanja wachache wizarani na ndani ya majeshi yetu, ifanyike kama inavyonyika JWTZ
2. Posho ya chakula ipandishwe kutoka 10,000 per day Hadi 15,000 per day kwa sababu gharama za maisha zimepanda hasa vyakula kutokana na wakulima kupandisha bei baada ya serikali yako tukufu kuwaruhusu nje ya nchi ili nao wafaidi matunda ya jasho lao, tunaomba posho hiyo iwe 450,000 kwa mwezi.
3. Posho ya pango (ngome) alipwe kila Askari kama ilivyo JWTZ ili Askari warekebishe nyumba chakavu wanazoishi kambini.
Rais madai yetu ni ya muda mrefu sana lakini yamekuwa yanadhibitiwa na viongozi wetu ndani ya majeshi yetu au wizarani kwa manufaa yao wenyewe.
Aidha tunakuomba utuondoe utumishi na utupeleke mfuko maalumu (consolidated fund) maana sheria zetu haziendani na utumishi.
Rais tunajua unayo mambo mengi ya kufanya lakini tunaomba uyaangalie mambo hayo kwa huruma na upendo ili kuboresha maslahi ya Askari wako. Kama unavyoelewa askari hana chama cha kumtetea bali chama chake ni wewe Rais hivyo ndivyo tunavyofundishwaga mafunzoni.
Tunakutakia afya njema mama, bajeti hii tunaomba utufikirie kwa mambo hayo kadhaa tuliyoyaainisha hapo juu.
Tunakusalimu kwa jina la jamhuri tukufu ya muungano wa Tanzania.
Kwanini mshahara wamlipe askari tu, kwanini wasilipe na tegemeziKwanini BIMA wanakata hata kwa wategemezi,kwanini wasiweke bima kwa askari tu?