Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

Hakuna wasichojua ila hawako tiyari kuwasemea wengine wanahisi watanyanganywa madaraka
Kupokonywa madaraka siyo kweli. Ila kama ndani ya Jeshi la Polisi ile nidhamu ya Kijeshi ingekuwa bado ipo, nafasi ya kujadili hatima ya Askari ingekuwepo. Maana kama mtu akitoa hoja inayowakera wakubwa basi anahamishiwa vituo vya pembezoni kama adhabu, basi nidhamu ya kijeshi inapotea na inabaki tabia ya kujipendekeza.

Siku moja nilikuta Kopro mmoja wa Polisi anamwitwa Inspekta wa Polisi "Oyaa vipi?" nilishangaa sana!!
 
Kwanza Ombi lenyewe limechelewa, maana Bajeti imeshachelewa. Lakini inaonesha ni jinsi gani woga ulivyojaa kwenye jamii yetu ya Kitanzania. Anapokuja IGP ni kwa nini huwa h
Kupokonywa madaraka siyo kweli. Ila kama ndani ya Jeshi la Polisi ile nidhamu ya Kijeshi ingekuwa bado ipo, nafasi ya kujadili hatima ya Askari ingekuwepo. Maana kama mtu akitoa hoja inayowakera wakubwa basi anahamishiwa vituo vya pembezoni kama adhabu, basi nidhamu ya kijeshi inapotea na inabaki tabia ya kujipendekeza.

Siku moja nilikuta Kopro mmoja wa Polisi anamwitwa Inspekta wa Polisi "Oyaa vipi?" nilishangaa sana!!

amumwambia hayo m
Huyo insp.hajitambui maana alitakiwa ampleke mashitaka huyo Askari mtovu wa nidhamu
 
Pole Sana mlinda amani,umetia aibu Sana kuleta madhaifu yenu adharani kwa umma,hii itafanya muonekane mnanjaaa,kitu Cha kufanya hao wakubwa zenu wakiwatembelea mtengeneze matamasha tofauti ili kuelezea hisia zenu wakati mwingine tumieni lugha ya utani kufikisha ujumbe,I hope watawasikia
 
Shida ya polisi na magereza hawajitambui
Katika hili nawatetea sana. Kama umewahi kwenda kwenye usahili wa vijana wanaotakiwa kujiunga kwenye Polisi na Magereza, utanielewa. Huwa inakuwa ni "Option" ya mwisho kabisa baada ya kijana kukosa ajira kwingineko. Na kama nilivyosema hata huko kuajiriwa siku hizi, pia imekuwa si kitu rahisi.

Huwezi kuta watoto wa viongozi ama matajiri wako foleni wanaomba kuajiriwa Polisi ama Magereza, wengi wao (99.999?) ni watoto wa sisi maskini ambao tunawapeleka huko angalau wapate ajira tusaidiane nao kupambana na umaskini uliomo kwenye familia zetu.

Jeshini hakuna Demokrasia!!
 
Njaa tunazo kweli sasa kwanini tufiche

Back
Top Bottom