ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Kakwambia maisha yamekua ghali sana na akatoa moja ya sababu ni mipaka kuwa wazi,hivyo kupelekea ughali wa maisha,hiyo elfu kumi huoni ni ndogo au unamfikiria yeye tu hufikirii familia yake na wategemezi wake wengine ambao wapo nyumbani kwake?Kudai 15,000 kwa siku kama posho ya kula ni hela nyingi. Elfu 10 inawatosha, hiyo ni hela ya kuongezea kwenye bajeti yako sio ya kukulisha moja kwa moja. Otherwise hoja nyingine ni za msingi msikilizwe
Umewahi kufikiria kwanini wanachuo wameongezewa boom na JW hawalipwi elfu kumi kama wizara ya mambo ya ndani wanavyowafanyia askari waliopo kwenye hiyo wizara?
Hizo hoja zinatakiwa zifanyiwe kazi,zote ni za msingi.
Wasaidizi wa IGP na Rais,wanatakiwa wawafikishie wahusika,kwenye majeshi inasemekana kuna ulaji mwingi sana wa pesa,unafanywa na wakubwa wao,matokeo yake,JW wanaonekana maslahi yao ni makubwa,kumbe wao pesa zinawafikia moja kwa moja,kwenye mishahara yao.