Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Ni shauri wangu
Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili.
Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo tozo maalum katika Tanzanite ili, kama ilivyo ya korosho, au nyingine, iwekezwe kwenye miundombinu ya huko, Dar isibebe fahari ya eneo jingine.
Give credit only when and to whom it’s actually due! Samia hakufanya kitu chochote cha kutuvusha. Tulivushwa na Katiba yetu ileile ambayo kila siku CDM wanaishambulia!