Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Ni shauri wangu
Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili.
Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo tozo maalum katika Tanzanite ili, kama ilivyo ya korosho, au nyingine, iwekezwe kwenye miundombinu ya huko, Dar isibebe fahari ya eneo jingine.
Tanzanite sounds better, Samia ajenge la kwake after all bado kuna infrastructure kibao za kujenga tunaweza kuita jina la Rais Samia plus shule, majengo ya ofisi za serikali, mashamba, mifugo, wanyama pori kama faru akiitwa faru Samia sio mbaya hata ndege mpya inayokuja mbona we still have a lot and she has ample time to fulfill her dreams and people's dreams.
Hata standard gauge railway, ni fikra za awamu ya nne tena wakaomba mkopo China,mwendazake akaukataa mkopo wa China,wakati anakaribia kufa akakubaliana na mkopo wa ChinaHilo daraja hajavuja jasho Magufuli, go back to time, mkataba wa mkopo usio na riba ulisaoniwa wakatiJK ndio anamalizia ngwe yake ya pili by that time mwendazake alikuwa waziri. Sikatai juhudi zake kuhakikisha analijenga wakati ameingia madarakani but pesa tulipewa ya bure ni mkopo usio na riba tulipewa na Korea.
Upo sahihi, na jiwe kisa ni aliingizwa mkenge na waturuki yule waziri mkuu wao alipokuja na group kubwa la waliojiita wawekezaji wakamuingiza kingi msukuma sijui Nani alimwambia mturuki ana hela wakati hata Ulaya hawawataki kwenye umoja wao.Hata standard gauge railway, ni fikra za awamu ya nne tena wakaomba mkopo China,mwendazake akaukataa mkopo wa China,wakati anakaribia kufa akakubaliana na mkopo wa China
Ametuvusha kwa lipi LABDA kwa kipi anachofanya ana alichofanya ametuvusha kwenye nini?Upo sahihi, na jiwe kisa ni aliingizwa mkenge na waturuki yule waziri mkuu wao alipokuja na group kubwa la waliojiita wawekezaji wakamuingiza kingi msukuma sijui Nani alimwambia mturuki ana hela wakati hata Ulaya hawawataki kwenye umoja wao.
Sasa funny enough, akawanyang'anya wachina deal ambayo walikomaa nayo kwa miaka karibu minne kuclose deal na iliwaudhi sana wakaona wamuache apambane.
Mchina alijua kabisa uturuki hawana hela ya huo mradi, akaingia deal nao ya kuwapa mkopo, msukuma anajikuta anamlipa mturuki kwa shilingi maana mkataba ule alijifanya kuingia kwa shilingi at the same time kumbe Mchina hajakosa deal yote katoa mkopo anakula faida tu.
Yule mzee kuna Mambo mengi sana alikuwa abunuwasi Mungu ametusevu sana alikuwa mkurupukaji na mpenda sofa za kishamba.
Sijakuelewa umesoma nilichoandika au Kuna mwingine unamjibu au ukapate supu kwanza aisee?Ametuvusha kwa lipi LABDA kwa kipi anachofanya ana alichofanya ametuvusha kwenye nini?
Inaonekana we ni mporipori sana na aujielewiWakuja ni wakuja tu..ongea na watu wa level yako ya wakuja na miaccent ya wakuaj😂😂😂