Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

Basi kubali kuwa myahudi yupo nyuma ya wallstreet waliotoa miataji ya mafuta na ambao wanajitahidi kubadili hata kubadili culture yao. Kumbika Bretton wood .kwa nini mafuta hayauzwi kwa pesa ya emirate.?. We are dooped big time. Kifupi all workers in dp are not Arabs are Indians and wazungu. Chinese fallout effect inatumaliza.
wala siwezi kulibishia hilo.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio habari yenye akili zaidi. Tanganyika ilikufa mwaka sitini na nne.
 
Kama Ethiopia wangekuwa wananufaika kweli kwa nini raia wake kila siku wanakimbilia Afrika Kusini kutafuta makazi na maisha?Kila siku kesi za wahamiaji haramu zinawahusu tu Ethiopia kwa nini wakati wana uchumi mzuri.Mambo ya makaratasi na uhalisia wa maisha ni vitu viwili tofauti.
 
Sioni tija unapotumia u communist kama hoja ya kujitetea. Thats typically stupid.
Conceptually ni sawa na kusema unampa dereva kazi ya kuendesha gari lako ila masharti anayokupa ni kuwa huruhusiwi kununua gari jengine lolote la ziada bila kumuomba ruhusa na magari yako yote mengine yako kwenye milki yake. Hutakiwi kumpa dereva mwingine yeyote kazi na hata akizingua kazini huna haki ya kumfukuza wala kumshtaki popote na posho zote anazokusanya hazikuhusu.

Hii ndo mfano wa kile ambacho kinaonekana kwenye hati ya makubaliano baina ya DP World na TPA. Ni mjinga pekee atashabikia aina hio ya mkataba.
 
Walichelewa kufungua uchumi Kwa sababu miaka Mingi walikuwa Wajamaa so wanafanya wakati Nchi imesha burst.Tanzania hatuhitaji kusubiria tufike huko.
 
Wazee hao wanatumika katika kujenga hoja mbele ya jamii kwamba kama na hawa nao wana mashaka na DPW basi hawapaswi kusikilizwa.

Ni vita yenye umafia mwingi wa chini kwa chini na naamini usalama wa Taifa wapo kazini kwa kipindi chote hiki cha habari za uwekezaji wa hii kampuni.
 
Ukiangalia list yako ni ya Wazee ambao ni frustrated maishani, hawana lolote la kujivunia na wana uchungu kwamba wenzao wanafanya makubwa
 
HGA siyo mkataba wa kibishara, HGA huwa ni masharti ya nchi mwenyeji (inapofanyika hiyo biashara).
Kilichopita bungeni ni Agreement of IGA, na baada ya hapo kinachofuata ni kusainiwa kwa mikataba ya kibiashara baada ya kufanyika mijadala ya kina ya pande mbili, wawekezaji na wafanya biashara wa ndani kupitia wanasheria wa serikali.
 
Watu ma failures eti ndio wakupe Ushauri ni upuuzi.

Tunaweza sikiliza Ushauri Kwa Mo, Bakhress,Rostam na Jumuiya ya wafanyabiashara ambao ndio wanalipa Kodi na ndio waajiri,hao waganga njaa wasubirie mengine.
 
Ukiangalia list yako ni ya Wazee ambao ni frustrated maishani, hawana lolote la kujivunia na wana uchungu kwamba wenzao wanafanya makubwa
Eti ndio washauri wengine wanategemea sadaka Sasa watu wa hivyo na mambo ya biashara wapi na wapi 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…