Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Shida sio kufutiwa usajili bali wanawezaje kuendelea kuvumilia huu udhalilishaji?Catholic ni taasisi kubwa duniani, hawawezi ! Zingekuwa ni hizi ministries ndogo ndogo chap tu wangefutiwa Usajili!
Kanisa ni moja, takatifu la mitume ⛪️
Hii misemo ya ni taasisi kubwa duniani tumeshaizoea. Imekuzwa sanaCatholic ni taasisi kubwa duniani, hawawezi ! Zingekuwa ni hizi ministries ndogo ndogo chap tu wangefutiwa Usajili!
Kanisa ni moja, takatifu la mitume ⛪️
Hopes in vainThe Catholics are carefully and quietly making a very well coordinated move that will have fruitful impact.
Keep on waiting.
Kwani tokea Padre Kitima alipobamizwa na kitu butu kichwani na kutangazwa kuwa alikuwa "kwenye kilevi"; huo ujumbe bado ulikuwa njiani?Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo.serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite wasaliti?
View attachment 3490424
Tipping point bado kufikiwa.Hii misemo ya ni taasisi kubwa duniani tumeshaizoea. Imekuzwa sana
Basi sawaTipping point bado kufikiwa.
Ungependa kuona ukubwa wake?Hii misemo ya ni taasisi kubwa duniani tumeshaizoea. Imekuzwa sana
Wakati wao wa kufikiwa utafikaKwani tokea Padre Kitima alipobamizwa na kitu butu kichwani na kutangazwa kuwa alikuwa "kwenye kilevi"; huo ujumbe bado ulikuwa njiani?
Hii vita haijaanza leo; ila leo inaonekana dhahiri zaidi kwa sababu wahusika wa vita hiyo wanajiona wamekusanya nguvu ya kutosha kuwadhalilisha wenzao waziwazi kabisa.
Hakuna huo Ukubwa, kwa hiyo hautaonekana. Huwezi kuona kitu ambacho hakipoUngependa kuona ukubwa wake?
Sikiliza ewe msukule sugu!! Hao jamaa wa katoliki hua hawakurupuki kutoa matamko, ni tofaut na wale wazee wa pilau mbuzi Pepsi barid na ndizi mbivu kweny mfuko wa koti!!Mapadre wanajiteka kweli ingekua ni uongo wanasingiziwa wangekuja kukanusha ila kwakua wamebanwa mbavu kwenye uongo wao wanaoutengeneza sahivi imebaki kuwa aibu tu , nyie wafuasi wenye vichwa vigumu ndo mnaamini wanasingiziwa ila kiuhalisia uongozi wenu unajua fika kuwa wanatengeneza matukio yao kwa maslahi binafsi.
Ndo maana yule wa Njombe askofu alikuja kumtetea kwa kusema eti alikua na msongo wa mawazo ila yote ni muendelezo wa uongo wanajisafisha uongo wao kwa kutumia uongo, sasa dawa ni hii hii wakijiteka wawekwe hadharani hadi waache ubabaishaji.
Ni kweli hatuwezi kukiona kwa kuwa huwa hawakionyeshi pia. Huwa tunaona tu matokeo yake.Hakuna huo Ukubwa, kwa hiyo hautaonekana. Huwezi kuona kitu ambacho hakipo