Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

Mnajipa matumaini ya kitoto sana…
Hakuna kanisa litakalo itishia serikali….
Ni ujinga wa kushikwa akili na imani za kijinga kabisa
 
Muziki wa Vatican ni mnene na unaeleweka Dunia nzima, sasa hawa wanaobagaza Kanisa Katoliki wakidhani ni ministries kama zile wanazozisajili mambo ya ndani, mtu atatembea kwa magoti mpaka Vatican!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Sikiliza ewe msukule sugu!! Hao jamaa wa katoliki hua hawakurupuki kutoa matamko, ni tofaut na wale wazee wa pilau mbuzi Pepsi barid na ndizi mbivu kweny mfuko wa koti!!
Watatoa tamko gani hao wazinzi waliojificha kwenye upadri , wacheza kamari wakubwa wanaojiteka kwaajili ya kukwepa madeni? Alafu ndo unaenda kuungama kwao unaenda kuomba toba kwa padre akusamehe dhambi, atakusamehe vipi wakati ye mwenyewe mchafu, zinduka Nyumbu wewe
 
Ndio lengo la genge lililoko madarakani kutaka kuaminisha umma kuwa kanisa ni chafu. Wameshindwa kulifungia wanabaki kutaka kulichafua. Watachafuka wao zaidi maana ni wachafu tayari
 
Ndio lengo la genge lililoko madarakani kutaka kuaminisha umma kuwa kanisa ni chafu. Wameshindwa kulifungia wanabaki kutaka kulichafua. Watachafuka wao zaidi maana ni wachafu tayari
Kanisa linachafuliwa na mapadre wake waongo waongo na siyo serekali, kosa la serekali ni nini? Ni kuwaumbua mapadre waliojiteka au?
 
Mtatengeneza Kila aina ya hila lakini kama Mungu ameamua kumpaxSamia basi itabaki hivyo milele na milele
 
Ogopa RC hawanaga kelele na hawanaga haraka! Ila kitu kimoka kwa hakika huwa HAWAKOSEI
 
Mtatengeneza Kila aina ya hila lakini kama Mungu ameamua kumpaxSamia basi itabaki hivyo milele na milele
Hakuna "mumgu" wa namna hiyo. Samia ni mtumwa wa shetani ambaye amekuja kuliangamiza taifa la Tanzania. Hataruhusiwa kufanya hivyo.
 
Usiwaite wasaliti, hivi ndivyo alivyo tufundisha Bwana wetu Yesu Kristo, mtu akikupiga kofi upande wa kushoto, mgeuzie na upande wa kuume!

Luka 6: 29 Mtu akikupiga kofi, mgeuzie na shavu la pili. Mtu akikunyang’anya koti lako, usimzuie kuchukua na shati lako pia.
Luka 6:30 Aombae mpe, na mtu akichukua mali yako usidai urudishiwe.
Mathayo 5 :38
38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; 39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili. 40 Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. 41Mtu yeyote akikulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye maili mbili. 42Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo.
P
 
Kuna mambo ambayo hupaswi kumwachia Mungu, kiongozi. Hasa jambo ambalo lina tabia ya kujirudiarudia
 
Hakuna "mumgu" wa namna hiyo. Samia ni mtumwa wa shetani ambaye amekuja kuliangamiza taifa la Tanzania. Hataruhusiwa kufanya hivyo.
Naona haters viwango vyenu vya kuchanganyikiwa vinazodi siku baada ya siku.
 
Naona haters viwango vyenu vya kuchanganyikiwa vinazodi siku baada ya siku.
Kuhusu "hater" hilo kwangu wala usiwe na shaka nalo. Ninalibeba mbele bila ya aibu yoyote,

Nisipo mchukia Samia kwa matendo yake kwa taifa letu, unataka nimchukie nani hasa!

Hakuna kuchanganyikiwa, bali tunaona matumaini kwa Tanzania Mpya itakayotoka kwenye uchafu huu alioueneza Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…